Kwa hili ZITTO atakumbukwa Daima

Tutamkumbuka kwa kuharibu kizazi cha vijana wengi wa ki-Tanzania, vijana wamekuwa wakiwaza maslahi yao binafsi zaidi kwa jina lingine wamekuwa na bei kirahisi ukilinganisha na wazee wetu eg Shonza, Mwampamba, Mwigamba, Kitilya etc. Tena kwa kushindwa kuwa mfano wa kuigwa katika malezi ya familia..
 
Njaa mbaya,unatuuzia mchuchu au sisteeri!!!!!!!!!!!!!! Mtumie kap..y... hii picha
 
mimi nitamkumbuka kama ushuzi unaoharibu mazingira na kuleta usumbufu.
 
mwanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wa kweli yaani wanacheza wao mziki mie uku nishakojoa jamani raha wamependeza.
 
Kwani huyo ni nani wake?

Mimi ntamkumbuka daima ZITTO kwa kuwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA aliye na washabiki lukuki CCM na CUF

Sawa sawa na ndio inawezekana anachukiwa kwa hilo pamoja na mapungufu mengine yake lakini kukubalika kitaifa inaweza kuwa inawakera wahafidhina!!!!!
 
Sawa sawa na ndio inawezekana anachukiwa kwa hilo pamoja na mapungufu mengine yake lakini kukubalika kitaifa inaweza kuwa inawakera wahafidhina!!!!!

Busara si kwenda unakokubalika badala ya kung'ang'ania unakokataliwa? Aachane na wahfidhina basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…