Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Imba basi weweNyimbo yenyewee sasa bora hiyo ya matatizo
Imba basi wewe
Nyimbo yenyewee sasa bora hiyo ya matatizo
Yaan mtu katumia mamilioni kutengeneza kitu kizuri, katumia nguvu zake pia kwa kucheza pengne jasho mpaka kwapani af kanakuja kanyamrege tu sjui kutoka wapi eti kanasema nyimbo mbaya haaa!!! Watu Kama nyie ilifaa muwe na dunia yenu tu maana hamna namna sasa....Naimbaga mbonaa tena sanaaaa
Kama kukatika hata umeme unakatika,nyimbo mbayaaaYaan mtu katumia mamilioni kutengeneza kitu kizuri, katumia nguvu zake pia kwa kucheza pengne jasho mpaka kwapani af kanakuja kanyamrege tu sjui kutoka wapi eti kanasema nyimbo mbaya haaa!!! Watu Kama nyie ilifaa muwe na dunia yenu tu maana hamna namna sasa....
Hahahaaaa bora umeongea ww, natafuta kiki ishachuja cjui hiyo mavoko ndo inaitwaje nayo chalii[emoji125] [emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji14]Nyimbo yenyewee sasa bora hiyo ya matatizo
Sana yaani na ndo mana watu wanapenda kuangalia video kuliko audio kwa sababu ya dance baas, mziki mzuri utapenda kuuskiliza na kuangalia piaHuyu Domo ni dancer kama Msami tu, kwenye kuimba tunamuonea tu.
Mimi ndo cjaiskiza asaaKama kukatika hata umeme unakatika,nyimbo mbayaaa
#Aje washkaji zangu wa nguvu.!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.
Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji. Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.
Nawasilisha kwa hisani ya # McKonjeTv on instagram @mckonje