Kwa hili wanajamvi msaada wenu unahitajika

Kwa hili wanajamvi msaada wenu unahitajika

NDESA BOY

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
104
Reaction score
26
aise hii ilinitokea mm kipind fulani hiv nikiwa nasex nilijiamin sana kwamba walau nitapiga hata bao hata tatu lakni cha ajabu ile kuanza tu nikajikuta nimeshamwaga..nikajaribu kulitafuta la pl ila bwana we ka ududu ndo kakawa hakandidi tena ila tu kakaishia kumwaga kidogo kakiwa hakajangamka..niliumia sana na niliona aibu coz bint mwenyewe alikuwa na ugwadu kweli ani...ombi langu kwenu nisaidieni ili nikirudi tena kwenye game isijanitokea kama hio....mwenye uzoefu tafafuhali...tunaweza pia kuwasiliana kupitia PM.





.
 
kitaalam inaonekana umelogwa. Pole sana jaribu kutumia matunda kwa wingi na pia jitaidi kusoma habari za ukawa, epuka kutumia herufi 'a'.
 
kitaalam inaonekana umelogwa. Pole sana jaribu kutumia matunda kwa wingi na pia jitaidi kusoma habari za ukawa, epuka kutumia herufi 'a'.

Mweeeeeeeeeee kweli huu ushauri, ha ha ha hahahahaaaaaaaaaaa
 
kitaalam inaonekana umelogwa. Pole sana jaribu kutumia matunda kwa wingi na pia jitaidi kusoma habari za ukawa, epuka kutumia herufi 'a'.

Ndio maana nasema....JF siondoki........maushauri kama haya sipo tayari kuyakosa........
Kijana NDESA BOY.....fuata ushauri huu.....ududu utarudi katika hali yake........
 
Last edited by a moderator:
relax kijana. tatizo hapo ni kuwa na wasiwasi. yaonekana huyo siyo mpenzi wako halali na kama ni mpenzi unakamia. pia si kila siku ni siku ya mapenzi. unapotaka kufanya hakikisha uko sawa kimwili na kiakili.
 
Back
Top Bottom