Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Akiwa ktk shuguli binafsi tutahakiksha yuko salama tu. Ndio wajibu wetu mgeni yeyote halali. NDICHO KILICHOTOJEA USITAKE KUENDA ZAIDI YA HAPO. RAIS WETU ATARUDI SALAMA BAADA YA KAZI ILIYOMPELEKA YA KUTANGAZA SHGULI ZA UTALII
 
Acha uji nga! Hebu ifanye hiyo visit iwe ndio ya Joe Biden nchini uone kama Ikulu kutakalika!
Anajidhalilisha na kulidhalilisha taifa! Mwambieni arudie, asiendelee kujikombakomba kuomba kumuona Biden huko!
Uliambiwa alikwenda kwenye ziara ya mwaliko au ameenda kutembelea nchi. Hata kumuona makamu wa Rais ilikuwa ni sifa sana kwetu maana Samia hakuwa na mwaliko wa nchi bali alikwenda kuzindua filamu basi. Msichanganye masomo. Rais Carter anapokuja mara nyingi hapa huwa anakaribishwa ikulu? Aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza alipokuja mwaka jana alipigiwa mizinga si alikuja kama raia wengine?
 
Du kila kitu Magufuli. Hata hivyo ubongo wako ni kama wa panya, ndo maana una uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Hatimaye Putin naye aenda Marekani kufanya uzinduzi wa Loyal Poor [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Marekani ni nchi iliyokomaa kijasusi na inakuwa na habari za kiintelejensia zisizo na shaka kuhusu tawala nyingi za kiafrika.

Wanajua mchezo uliofanyika hadi mauti ya JPM.

Ndio maana Rais wao hataki kujichanganya na waovu.
Bali wanatuchekea kwa sababu lengo lao linatimia kupitia mama na mikataba yake.

Biden ni Mkatoliki muadilifu.
 
Hayati magufuli kaingiaje kwenye utumbo wa rais Samia.
 
🤣🤣🤣🤣 Pesa nyoko
 
Hahaaaaa nyuzi kama hizi huwezi kuwaona kina paskali aka babu mzaa chema
 
Waafrika na watu wakudharauliwa sana
Ukishakuwa na ngozi nyeusi your not safe
 
wewe biden angekuja HATA ZIARA BINAFSI BARABARA ZINGEPIGWA DEKI KWA NDIMI. ACHA UINGO. KUJIPELEKESHA HUKO NI UJINGA KABISA,
 
wewe biden angekuja HATA ZIARA BINAFSI BARABARA ZINGEPIGWA DEKI KWA NDIMI. ACHA UINGO. KUJIPELEKESHA HUKO NI UJINGA KABISA,
Bora kajipendekeza rais wako ndio maana hajapokelewa kwa heshima
 
We 'praise team' uchwara hujitambui! Endeleeni kujitekenya wengewe na kucheka! Kitaeleweka TU! Rais aliye serious na kazi yake hawezi kuwa na muda wa kufanya upuuzi huo! Huyu mama anazungukwa na Kundi la kihuni sana! Na hili ndilo anguko lake!
 
We 'praise team' uchwara hujitambui! Endeleeni kujitekenya wengewe na kucheka! Kitaeleweka TU! Rais aliye serious na kazi yake hawezi kuwa na muda wa kufanya upuuzi huo! Huyu mama anazungukwa na Kundi la kihuni sana! Na hili ndilo anguko lake!
Sitajibu yenye matusi naenda kwa hoja.
Kwahiyo mliona raha saana tulivyotengwa na dunia, wawekezaji wakafunga virago, mtu aliyetaja Covid 19 ipo akafukuzwa au kuhamishwa ofisi wakati mzuiaji wakaanza watu wake wa karibu aliokuwa akikata nao maji ndo akafuata. Mwenzao aliyeponea ndo akaja kutoa ushuhuda. Mnataka turudi huko? Mkapa na Kikwete walikuwa hawazunguki dunia, je nchi ilifikia mahali tulipokuwa 2015-2020? Sisi tulikuwa tusafiri kipindi cha covic 19 hatutaacha kumshukuru Samia. Bila yeye hali ingekuwa tete.
 
Rubbish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…