R rchaga Member Joined Feb 7, 2012 Posts 54 Reaction score 14 Mar 13, 2012 #1 Wadau toka juzi voda ukibakiwa na sh 300 wanakuambia huwezi kupga simu hadi uongeze salio. Hii ipo je ni kwangu tu au kwa wengine toka Dar?
Wadau toka juzi voda ukibakiwa na sh 300 wanakuambia huwezi kupga simu hadi uongeze salio. Hii ipo je ni kwangu tu au kwa wengine toka Dar?
deojames JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 415 Reaction score 208 Mar 13, 2012 #2 mimi mwenyewe nina ile nyongeza ya mpesa kama buku2 ila kila nikijaribu kupiga simu huwa ninaambiwa huna salio
mimi mwenyewe nina ile nyongeza ya mpesa kama buku2 ila kila nikijaribu kupiga simu huwa ninaambiwa huna salio
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Mar 13, 2012 #3 Ngoja tumsubiri MANJI kama atakuwa powa wooote tutahamia kwake.
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Mar 13, 2012 #4 Itakuwa ilimuudhi Mungu kwa kipindi kile cha kuzama kwa meli kulf znz na wao kuendelea kusheherekea miss tz huku roho za watz zikiangamia baharini
Itakuwa ilimuudhi Mungu kwa kipindi kile cha kuzama kwa meli kulf znz na wao kuendelea kusheherekea miss tz huku roho za watz zikiangamia baharini