Kwa hili USA intelijensia yao ipo chini?

Kwa hili USA intelijensia yao ipo chini?

Hii kama tu ya Kigogo kule Lindi inteliginsia inaweza kuchemka
....Korea ya Kusini baada ya taarifa hiyo ilitoa maelezo ya kiuchunguzi kuwa inawezekana sio kweli kwa sababu wanaona hakuna mienendo isiyo ya kawaida ndani ya Korea ya Kaskazini......nchi za kijamaa zikipata shida ya namna hiyo jambo la kwanza kujaza askari mitaani na masoja mpakani na watakaa mkao wa kivitavita...ndio watangaze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom