DAD'S SON
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 392
- 466
Wasalaam ndugu zangu,
Napenda kuanza kusema kuwa "not everyone is going to like you,bt Hey! That is totally okay [emoji4][emoji14].
Nadhani izi siku mbili tumekutana na story nzito nzito kipindi ichi cha corona kubwa kabisa ni issue nzima ya mzee baba rais jeuri hapa namzungumzia KIM JONG-UN aka kiduku,mtoto jeuri kama ni kizazi basi ushu shehe basi yupo kweny kiazi jueri.
Twende kwenye mada.
Imekuwa ikiaminika kuwa katika sayari hii USA ndio taifa lenye nguvu sana na ndo taifa linalosemekana lina intelijensia kubwa sanaaa kuliko mataifa mengine...kumbuka kuna nchi zinaintelijensia kubwa pia km Israel(mossad),uingereza(SIS), urusi(KGB) nk..ila USA inasemekana inazizidi izo zote.
Issue inayiendelea jana na leo kuhusu rais wa korea kaskazini kuhuhusiana na kifo chake kidogo zilileta taharuki na dunia nzima akakubali na wengine walionekana kufurahia kifo icho wengine walihuzunika sana cha kushangaza zaidi serikali ya korea kaskazini baada ya taarifa izo za kifo cha rais wao wakaja hadharani na kukana taarifa izo tena kwa ushahidi wa kimaelezo yalioshiba.
Tukumbuke kuwa taarifa izi za kifo cha Kim Jong-un zilitoka ktk source za kuaminika huko USA,na dunia iliaminishwa kuwa bwana mdogo amefariki,ikumbukwe kuwa tarifa izi hazikutoka ktk taifa husika(korea kaskazini) bali zilitoka USA maana yake ni kuwa intelijensia ya USA ilipenya na kupata taarifa za kifo cha bwana mdogo kwa bahati mbaya wakapata taarifa zisizo na ukweli wowote wala ushahidi.
Maswali ni mengi watu wanajiuliza swali langu je mpk sasa intelijensia ya USA ipo juu tena au ndo imeshashuka chini sana.
Zingatia:Swali langu linaendana na issue niliyoizingumzia hapo juu(taarifa za uongo za kifo cha Kim Jong-un kutoka USA)
Sent using Jamii Forums mobile app