MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
CCM ndio serikali kwa sasa, wanaweza kutoa tamko na sio CDM; kwani fedha nazo zina sexual orientation? Wewe unajua fedha unazotumia zimetoka wapi? Think big
Wewe kweli hili ndo jibu lako. Maybe ur still a learner. U need to stand as a watch dog? ndo maana kuna mawazo mbadala on how to go out of itKwa kweli humu ndani kuna watu wanafikiria uharo..hivi CDM nd yenye dola na itoe tamko kwa nn? Wambie magamba hatma ya misaada watolee tamko na c CDM kwn ndo wenye dola..
Think Big
Hoja hapa ni kwamba; hawa wakubwa wameshatoa msimamo wao kuwa watasitisha misaada kwa nchi zinazoendelea ambazo zinapinga ushoga; mtoa mada anajaribu kujenga hoja kwamba miongoni mwa wanufaika wa misaada hiyo ni CHADEMA ambao wanapata msaada moja kwa moja kutoka kwenye chama ambacho serikali yake kimetoa masharti hayo, na ndiyo maana anauliza je msimamo wa CHADEMA ni upi? bado mtaendelea kupokea misaada kutoka kwa wakubwa hawa? je hamuoni kufanya hivyo ni sawa na kuukubali ushoga?Kwa kweli humu ndani kuna watu wanafikiria uharo..hivi CDM nd yenye dola na itoe tamko kwa nn? Wambie magamba hatma ya misaada watolee tamko na c CDM kwn ndo wenye dola..
Think Big
Asante mkuu kwa kuiweka vizuri mimwenyewe nilitaka nitukane kwa kuiona hii thread haina maana kumbe sikuielewa vizuri. Thanks again.Hoja hapa ni kwamba; hawa wakubwa wameshatoa msimamo wao kuwa watasitisha misaada kwa nchi zinazoendelea ambazo zinapinga ushoga; mtoa mada anajaribu kujenga hoja kwamba miongoni mwa wanufaika wa misaada hiyo ni CHADEMA ambao wanapata msaada moja kwa moja kutoka kwenye chama ambacho serikali yake kimetoa masharti hayo, na ndiyo maana anauliza je msimamo wa CHADEMA ni upi? bado mtaendelea kupokea misaada kutoka kwa wakubwa hawa? je hamuoni kufanya hivyo ni sawa na kuukubali ushoga?
Mbali na itikadi za kichama tunaomba uongozi wa CHADEMA utoe tamko lao kuhusu misaada na sera za ushoga toka Uingereza kupitia chama cha Concervative. Bado tunahitaji msimamo wa serikali mbadala ya CHADEMA either kupitia waziri kivuli wake wa mambo ya ndani au yeyote atakayeteuliwa kusema kwa niaba ya chama. Tunatambua pia changamoto wazipatazo makada wa chadema hususani kule Arusha.

inaonyesha ni jinsi gani wanaiamini cdm ndo maana wanataka watoe tamko na ndo litakua tamko la nchi, magamba hawaaminiki tena
PEOPLEOOOOZ
Mbali na itikadi za kichama tunaomba uongozi wa CHADEMA utoe tamko lao kuhusu misaada na sera za ushoga toka Uingereza kupitia chama cha Concervative. Bado tunahitaji msimamo wa serikali mbadala ya CHADEMA either kupitia waziri kivuli wake wa mambo ya ndani au yeyote atakayeteuliwa kusema kwa niaba ya chama. Tunatambua pia changamoto wazipatazo makada wa chadema hususani kule Arusha.
mawazo yako ni mazuri ila si kwa cdm swali lako mahali sahihi ni serekalini huko kwa Jk wao huwaga wanafanya sherehe za kuwakaribisha hao mashoga na wanabadilishana nao mawazo na wao ndiyo wanachukuaga misaada yao.
Mpambanaji.com,
Mwambie Rais wako Kiwete atoe tamko kuhusu swala la USHOGA. JKiwete alikuwa pamoja na David Cameron kule kwenye mkutano wakti anatoa masharti hayo kwa Nchi za kiafrika. Mbona hakumwambia blankpoint kama kweli Kiwete anachukia ushoga???Badala yake aliendelea kuchekacheka tu huku David Cameron a.k.a Mzee wa the utamu akimkonyeza! Kama Kiwete ni mwanamme kweli alishindwa nini kumwambia DC kuwa hakubaliani na huo upuuzi wake badala yake kamwachia Waziri wake kihiyo Membe! Upuuzi mtupu. DC kama PM wa Uingereza kaongea kwa niaba ya serikali yake. Kwa hiyo mtu wa saizi yake ni Rais,Makamu wake Bilali au Waziri Mkuu Pinda na siyo Membe.
Wewe subiri siku Kiwete akienda kutembeza bakuli lake kule kwa Mama Malkia kama hajashughulikiwa na DC! Hivi mnafanya mchezo na DC,ukijichekeshachekesha tu anakuramba! Mwambie Rais wenu aache kuchekacheka kama jike maana kina DC watamwumiza!