Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Watanzania wenzangu binafsi napenda leo nieleze fikra zangu kwenu, kuwa kwa hali ya nchi yetu ilivyo hivi sasa tunahitaji kufanya maamuzi magumu.
Wana CCM, CHADEMA, CUF,wasio na vyama nk. Sote tunahitaji "kuichukulia hatua serikali". Kabla ya uchaguzi wa 2015 tunahitaji "kuingia barabarani" kushinikiza serikali kutatua kero zote ambazo kwangu naamini haina haja ya kuzitaja kwa vile kila mmoja yuko hoi kwa hali ilivyo. Sio kufanya vurugu bali maandamano ya amani nchi nzima kila mmoja ashiriki.
Napendekeza maandamano yafanyike kwa siku 7 mfululizo na serikali isitoe ahadi ya kushughulikia bali "iwajibike". In that situation they will listen and care to us. Haihitaji ushabiki wa vyama hii ni kwa wazalendo wa taifa hili.
Napenda kuwasilisha!!!!