Habari wana Jf.
Kama wiki tatu zilizopita nilikuwa niko kijijini kwaajili ya mambo ya kifamilia.
Nilishangaa kukutana na ujumbe kutoka tigo ambao ulinishtua kidogo na kunifanya niwe na wasiwasi na huduma ya Tigo pesa.
Huu ndio Ujumbe niliokutana nao
Hamisho la fedha kwenda FACEBOOK KIFURUSHI limekamilika. Kiasi Tsh 29,999. Salio jipya ni xxxx. Kumbukumbu no. CO141022.1737.D09273
Ni kwamba tigo wanadai kwamba wana huduma ambayo unaweza kununua kifurushi kupitia facebook nahii ni kwa wale ambao wamejiunga/wameweka no yasimu ya tigo kwenye Fbook profile.
Kwahiyo kilichotokea ni kwamba waliniunganisha nakifurushi cha Tsh.29999 cha mwez ambacho unakitumia kwa mwezi mzima.
Ishu ni kwamba waliniunganisha bila ya idhini yangu na nilipowauliza walinambia kuwa mimi ndiye niliyejiunga kupitia Facebook na wanadai kuwa uki log in facebook unakutana na menu ya Fb kifurushi na uki clik hapo moja kwamoja unakuwa umenunua kifurushi kupitia tigo pesa.
Nilishangaa kuunganishwa na kukatwa hiyo hel wakati nilikuwa niko kijijini ambako Network iliyopo huwezi ingia internet zaidi ni kupiga nakupiga kwenyewe mpaka usimame juu ya jiwe!
Na pia nilikuwa sijaingia Fbook kwa zaidi ya mwez mmoja
Niliwapigia simu na kuwauliza kuhusu huo muamala hapo uliofanyika bila idhini yangu lakini jibu nililopata lilinipa wasiwasi walinijibu kuwa " Tigo wameanzisha huduma ya fb kifurushi ambayo mtu anweza kununua akiwa yuko Fbook"
Niliwauliza kuwa nijuavyo mimi ili mtu aweze kufanya muamala ni lazima aweze kuhakikisha kwa kuweka namba yake ya siri ili kuruhusu muamala kufanyika inakuwaje mtu aki clik tu kwenye fbkifurushi moja kwa moja hela inakatwa wakati kwenye mtandao siku zote kuna kuingiliwa kwa account ya mtu(hack) wakati wowote?
Walinijibu kuwa tutalifanyia kazi na tutalifikisha mahala husika!
Nilijaribu kuwapigia sim mara nyingi nikijua ningepata msaada zaidi lakini majibu yalikuwa yakifanana.
Ombi langu kwa tigo kwa ajili ya wateja wanaotumia huduma ya tigopesa huku wakiwa wanatumia namba hiyohiyo Fbook. Msituwekee huduma ambazo hatujakubaliana nazo na pia kitendo cha kuingia kwenye acount ya mtu na kuhamisha hela bila ya yeye ku comfirm kwa kuweka no za siri huu ni wizi!! Na pia najua mtasema kwamba mtu labda akiweka no za Siri za Fbook tayari ameshaingia na Tigopesa acc! Fbook na Tigopesa ni vitu viwili tofauti
Pia niwaombe tu wateja wa Tigopesa ambao pia namba zenu mmefungulia au mmeziweka fbook mkae mkijua kuwa mda wowote helayenu iko hatiani kumegwa.
Nilichokifanya ni kuitoa no ya tigo Fbook na pia siruhusu kutumiwa hela kupitia tigopesa na pia ninampango wakuripot hili tatizo makao makuu ya Tigo na ikishindikana nawa ripoti TCRA kujua ni sheria zipi nichukue.