Ndugu mteja, tunashughulikia tatizo la kiufundi kwenye huduma ya M-Pesa na tunakuhakikishia pesa zako ziko salama.Tutakujulisha mara tu huduma itakaporejea.
majanga tena haya! tiGO wanashughulikia tatizo la kiufundi la M-PESA,
huo ni zaidi ya upendo,
Mi tigo wananiboa sana lakini huwa kuhama siwezi, nitaishia kulalamika weeee mwisho wa siku nimeng'ang'ana pale pale sijui kwanini,....
kweli Kabisa kakangu hii ni hatari,tigo imeniloganjoo ufanyiwe maombi
kweli Kabisa kakangu hii ni hatari,tigo imeniloga
Mimi nilikuwa najiunga mini kabang ya week ya 3500 wanakupa dk 75 za kuongea, MB 500 na sms 2000
Sasa hivi wamepunguza kuja dk 65 za kuongea, MB 300 na sms 2000. Na shida yangu kubwa ni hizo MB 500 kipindi kile zilikuwa zinakaa week nzima ila hizo Mb 300 hazipiti alhamisi
Nikawapigia kuwauliza wakasema kwasababu najiunga sana ndo mana wamepunguza
Zaidi wakasema kama sifurahii huduma zao nihamie ninapoona pananifaa
Sahv nipo SMART mambo mteremkoo, kitu satelite sio maswala ya minara tena
Tigo wamekuwa na ghrama sana sio ya wanafunzi tena
Mkuu hebu nambie huko SMART kupoje gharama zao zimekaaje,Network yao vipi ipo vema? Na speed ya net ipo vip kama namna gani nihamie zangu huko tu ntulieMimi nilikuwa najiunga mini kabang ya week ya 3500 wanakupa dk 75 za kuongea, MB 500 na sms 2000
Sasa hivi wamepunguza kuja dk 65 za kuongea, MB 300 na sms 2000. Na shida yangu kubwa ni hizo MB 500 kipindi kile zilikuwa zinakaa week nzima ila hizo Mb 300 hazipiti alhamisi
Nikawapigia kuwauliza wakasema kwasababu najiunga sana ndo mana wamepunguza
Zaidi wakasema kama sifurahii huduma zao nihamie ninapoona pananifaa
Sahv nipo SMART mambo mteremkoo, kitu satelite sio maswala ya minara tena
Tigo wamekuwa na ghrama sana sio ya wanafunzi tena
Mi tigo wananiboa sana lakini huwa kuhama siwezi, nitaishia kulalamika weeee mwisho wa siku nimeng'ang'ana pale pale sijui kwanini,....
Mkuu hebu nambie huko SMART kupoje gharama zao zimekaaje,Network yao vipi ipo vema? Na speed ya net ipo vip kama namna gani nihamie zangu huko tu ntulie