M malemba Senior Member Joined Dec 6, 2022 Posts 187 Reaction score 186 Jul 7, 2023 #1 Habari zenu wanajamvi kipindi hiki ni wakati wa maonyesho ya sabasaba. Nimeshangaa kuona simba na yanga hawana hata kibanda pale saba saba hili ni kosa kibiashara ukilinganisha hizi timu zina wafuasi wengi sana.
Habari zenu wanajamvi kipindi hiki ni wakati wa maonyesho ya sabasaba. Nimeshangaa kuona simba na yanga hawana hata kibanda pale saba saba hili ni kosa kibiashara ukilinganisha hizi timu zina wafuasi wengi sana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,983 Reaction score 1,252,313 Jul 7, 2023 #2 somba
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 9,010 Reaction score 33,555 Jul 7, 2023 #3 Somba tena? Ila kweli hawa Somba Hawa lazima wajirekebishe
kaligopelelo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 2,875 Reaction score 4,162 Jul 7, 2023 #4 Sasa Somba watauza nini wakati hawana jezi mpya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,722 Reaction score 197,369 Jul 22, 2023 #5 Mambo yao waachie wenyewe...