kasukububu
Member
- Jan 9, 2013
- 63
- 25
Je mnajua ni kwa nn bundle zimepunguzwa?
Serikali wamegundua kuwa mijadala mingi ya kimapinduzi inafanyikia kwenye mitandao(haswa JamiiForums)so ili kuizimisha jibu ni kupunguza bundle la internet, haiwezekani lazima haya makampuni wamepewa maelekezo na wenye nchi, iweje makampuni yote yaongeze bei na kupunguza bundles kwa wakati mmoja. Nilimuamini sana January Makamba ila kwahili nimemtoa thaman ,wapuuz hawa bundle ya 19999 wananipa 250mb kama si wizi ni nini?