Daaah yaaan nandy anacho mzidi ruby ni uzuri na unyenyekevu kwa clods tu. Ila kwa talent ya kuimba, nandy akasome kwanza. Unajua nandy hata hafikii level za yule mshindi wa BSS mwaka jana.
Ruby angekua tu mpole kwa clouds hawa kinanandy hata msingewajua coz baada ya ruby kupotea ndo nandy akapata chance. Afu mbona performance ya nandy pale coke studio ni ya kawaida, ni kama tu za vanessa mdee
Huyu dada atafute mwandishi mzuri na melody atafika mbali tu hit baada ya hit ila lazima uwe na watengezaji wazuri wa muziki na watunzi kuimba kipaji anacho sasa ni kuboresha tu.