Kwa hili nimesema hapana, je wewe ungefanyaje?

Kwa hili nimesema hapana, je wewe ungefanyaje?

kama its out of ur plan usifanye ivo. Utajuta baadae kwann ulizaa. Tulia, Timiza ndoto zako, uje kuwa baba mwema kwa wanao wa mkeo. Usifanye kitu ambacho hakipo ktk akili yako kwa kujilazimisha au kulazimishwa, ni hatari kwa afya ya saikolojia yako na ur coming family.

Ubarikiwe sana kwa ushauri wako huu, AOGOPE KAMA UKOMA,
 
km unayoyasema yanatoka moyoni bac cmamia mcmamo wk huyo anataka ukisha mzalisha 2 ndo bac tena huna njia ya kumkimbia pole kwa changamoto kaka.
 
dah' nimependa sana ushauri wenu wana JF' safi sana! Broo VON MO' timiza malengo yako kila ki2 kitakuja kwa muda wake!
 
Kutoka hapo ni kuwa mtu wa kusoma biblia kanisani kwa sana,nyimbo za injili kila kona redioyako iwe redio wapofm,maombi kwasana kufunga na kuomba.kemea kila wa kati kwa Jina la yesu.
 
atakupeleaka pabaya,nilikua na bro wangu yeye ndio alimuomba msichna azae nae tuu,akakubaliwa ila mwishowe akijikuta inamkost kuliko angemuoa yule msichana,na akajikuta kutwa ni mtu wa stress,mwishowe akaamua kumuoa,kama kweli huyo mdada shida yake ni mtoto tu na sio wewe,basi mshauri asubiri siku hatari kwake aende kwa mwanaume yoyote huyo ampe mambo,mi najua akitoka tu njee kwa saa moja atakua ashatongozwa na midume kibao
 
Napiga kazi somewhere, katokea dada moja kanipenda sana, kaendelea kudhihirisha kwamba she z crazy over me,
lakini nikamwambia mahusiano sehemu ya kazi ni hatari sana, nimeendelea kubuy time, but anataka tumeet na kusudi
lake kubwa anataka nimpe mtoto kwani anasema hana haja sana ya kuolewa, anachotaka ni apate baby naye aitwe mama.

Katika maisha yangu ya ujana huu, huyu ni msichana wa tatu kunitamkia seriously maneno kama haya, lakini nimekuwa
nikisita, hii ni kutokana na maadili hayaruhusu.

Sasa najiuliza nifanyeje? NIKASEMA HAPANA MOYONI MWANGU, NAKIONEA HURUMA KIUMBE KITAKACHOZALIWA

kwani kitakosa malezi ya baba.

zaidi ya hapo nilishaweka nadhiri mbele za Mungu nisizini mpaka ndoa

uwezo wa kumtunza na kumsomesha mtoto ninao,

bado sijaoa,

bado sijatimiza baadhi ya dream zangu za msingi,

sasa naomba mnishauri nawezaje kuchomoa hapa?

Hao wanawake walioisha wahi kukuomba watoto kabla ya huyu wa mwisho, unamawasiliano nao na je sasa hivi wana watoto au hawana? Na kama wana watoto, ukipima umri wa hao watoto je walizaliwa katika kipindi kinachofanana na kipindi walichokuomba watoto?

Niliombwa watoto na wanawake watatu, bahati nzuri nilikataa. Kustuka kumbe walikuwa na mimba tayari na wanaume waliowajaza walikuwa wamekula kona.
 
Back
Top Bottom