Kwa hili nawatabiria mbeya city kufika mbali

Kwa hili nawatabiria mbeya city kufika mbali

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,727
Reaction score
2,265
Mbeya city sasa wametengeneza jezi zao na wanazisimamia kuziuza wenyewe hivo kuiongezea kipato timu,. Jezi ni nzuri na ni bora na origino sio famba inauzwa elfu12000; hata mimi nimewaunga mkono kwa kununua jezi zao na hivo kesho ntakuepo uwanjani kuishangilia..

Vituo tofauti vya redio jijini hapa vinatangaza mpambano wa kesho na kagera hivo kuipa hamasa mbeya city,.
Viva mbeya city,. matimu mwngine yaige uaache tegemea kuuza mechi kwa simba na yanga ili wapate mapato
 
Kama jezi ni rangi nyekundu na nyeupe siwezi kuwaunga mkono wa kununua hata kama ni mkazi wa jiji la Mbeya.
 
ni nyeupe na zambarau...................kesho sokoine kama kawa,japo uwanja wenyewe ka umepigwa bomu vile!
 
Sio nyekundu kaka ni zambalau ni na nyeupe daa uzi wa ukweli sn,. Nimeipenda sn hii tim
Kama jezi ni rangi nyekundu na nyeupe siwezi kuwaunga mkono wa kununua hata kama ni mkazi wa jiji la Mbeya.
 
Jezi zinapatikana wapi mkuu?je ni rangi gani?

Hili swali la msingi sana. Mauzo yanategemea sana rangi ya jezi yenyewe. Mi nashabikia Man U, lakini jezi yao ya "away" blue na nyeusi ndio angalau naweza kuvaa!!
 
Mkuu uzi una mvuto sn huu wa mbeya city tupa kule hayo matakataka ya yanga,simba,man u,aseno,basalona, madrir,. Kesho tupia mbeya city
Hili swali la msingi sana. Mauzo yanategemea sana rangi ya jezi yenyewe. Mi nashabikia Man U, lakini jezi yao ya "away" blue na nyeusi ndio angalau naweza kuvaa!!
 
Mbeya city sasa
wametengeneza jezi zao na wanazisimamia kuziuza wenyewe hivo kuiongezea
kipato timu,. Jezi ni nzuri na ni bora na origino sio famba inauzwa
elfu12000; hata mimi nimewaunga mkono kwa kununua jezi zao na hivo kesho
ntakuepo uwanjani kuishangilia..

Vituo tofauti vya redio jijini hapa vinatangaza mpambano wa kesho na
kagera hivo kuipa hamasa mbeya city,.
Viva mbeya city,. matimu mwngine yaige uaache tegemea kuuza mechi kwa
simba na yanga ili wapate mapato

Jezi ni matambara tu hayamaanishi kuwa ndio kila kitu ktk football. Football is more than pieces of clothes!
 
Kinachoua timu zetu ni njaa za wachezaji ndo hicho nachozungumzia mkuu, mauzo ya jezi itaifanya timu uwe na mapato kiasi hvo kupunguza njaa kama ile ilitoiua toto africa, afc arusha, maji maji na tim nyingine zolizokufa vibaya
Jezi ni matambara tu hayamaanishi kuwa ndio kila kitu ktk football. Football is more than pieces of clothes!
 
Haya bhana, nawatakieni kila la kheri wana Mbeya city .
 
Kwa pamoja tutaijenga Mbeya yetu.
Wakuu mliopo Mbeya tujae kwa wingi kesho.
 
Nipo nauchulia uwanja apa naona uang'aa sn ila libendera la chama nalo linapepea natamani ealing'oe make uwepo wake ni nuksi tupu
Kwa pamoja tutaijenga Mbeya yetu.
Wakuu mliopo Mbeya tujae kwa wingi kesho.
 
Hili swali la msingi sana. Mauzo yanategemea sana rangi ya jezi yenyewe. Mi nashabikia Man U, lakini jezi yao ya "away" blue na nyeusi ndio angalau naweza kuvaa!!

So pathetic, kuifanya Man U ndio kipimo cha wewe kununua jezi. Kama hutaki sio lazima kuwaungisha bro, mboan tunatumia noti nyekundu, tunakunya mavi ya njano, tunakaa nyumba za khaki na ngozi zetu za kahawia. Kuwa reasonable kidogo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom