Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Binafsi siamini kabisa hili swala la ugaidi ni kweli ni ugaidi ambao Wazungu wenyewe hawahusiki nao!
Hawa Magaidi wajulikanao kama ISIS, Alshabaab, Boko haram au sijui Taliban siamini kama ni Jeshi huru linalojitegemea, na sababu kubwa ni kwamba haingii akilini Wazungu washindwe Vita na Jeshi la watu wasiozidi 50 000 hawa ISIS, Mzungu anatuma chombo angani, ana google ambayo inaona Dunia nzima, Mzungu ana mitambo ya kujua kinachoendelea Duniani nzima in real time, sasa hivi hata Kimbunga kikitokea Kijijini Tunduru huko tayari NASA wanajua kabla ya sisi kukujua, mfano ajali iliyotokea Arusha Mzungu aliona kabla yetu kwa kutumia teknolojia!
Mzungu na Washirika wake NATO, Ujapani na Korea wana jeshi modern kuliko yote Dunia hii, Mzungu anafanyia surveillance raia wake wote kwa maana nyingine Mzungu anajua raia wake wote waishio nchini mwake wamezaliwa lini, wanafanya nini na hata record za Magonjwa yao anazo, Mzungu anafuatlia kila simu, internet na sms inayotumwa Dunia hii wanaita wiretapping, ana records za watu wake wote kuanzia wanapozaliwa mpka siku wanakufa, hata mzunguko wa fedha Dunia hii unakuwa controlled huko Ubelgiji kwa mfumo wa SWIFT kwa maana huwezi kutuma wala kupokea fedha Dunia hii kama uko nje ya SWIFT, iweje aje kushindwa na Jeshi lenye Silaha za Kijima lenye watu wasiozidi 50 000?
Kwangu nasema hapana, aidha Mzungu anapanga haya mashambulio kwa sababu anazozijua yeye au kuna kingine, ...