Kwa hili la Sabaya na Makonda ni aibu kubwa kwa awamu ya tano

Bashite ni fala tu DPP asimfungie macho na umeandika kitu cha maana sana ila kukisoma inaleta shida kdogo maana hujaacha nafasi na gazeti ni kubwa
Haujalewa? Hajafunguliwa mashitaka na DPP, kafunguliwa na wakili wa kujitegemea.

Cha kujiuliza ina maana mamlaka haijaona dosari zozote alizozifanya wakati akihudumu kwenye nafasi hiyo, aje tu raia from no where aanzishe kesi binafsi!

Je huyo wakili ni dhamira yake kweli, au kafanywa chambo na wafadhili hasa walioguswa na sakata la madawa?

Maana yake nimesoma shitaka alilofungua ni la Makonda kutumia madaraka vibaya kuingia ofisi za studio za Clauds akiwa na silaha.

Nakumbuka issue hiyo ilimalizwa na wahusika kusamehe, leo limekujaje kuibuliwa na mtu binafsi ambaye hajatendwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujalewa? Hajafunguliwa mashitaka na DPP, kafunguliwa na wakili wa kujitegemea.

Cha kujiuliza ina maana mamlaka haijaona dosari zozote alizozifanya wakati akihudumu kwenye nafasi hiyo, aje tu raia from no where aanzishe kesi binafsi...
Nmemsikiliza DPP clouds jion hii kapigiwa simu kuulizwa juu ya hilo suala kasema yeye hana taarifa hizo wakat alitakiwa yeye ndo awajibike wa kwanza ndo maana nikasema asilifungie macho
 
Magufuri alikuwa na matatizo ya akili..anawaita watoto wa wenzie wanyonge halafu wa kwake anawapa vitengo..hivi kwanza niulize huyu Rucy magufuri yuko wapi..bado ni das ?... huyu dada alikuwa amepewa ulinzi kuzidi hata wa waziri mkuu..
Sasa ulitaka wa kwake awape nini Mkuu? Mav.?! Hacha wivu wa kishamba.

Kuna kosa gani kisheria kuwapa kazi watoto wake au ulitaka awalipe salary bure mseme anakula hela za Nchi
 
Haki itendeke alijiona Mungu mtu aswekwe.
Nasoma vyombo mbalimbali kwamba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar wakati wa awamu ya tano atafunguliwa mashitaka kwa matumizi mabaya ya ofisi!!! Iwapo itafunguliwa kesi hii iatakuwa ni ya pili Tangu Rais jpm afariki!...
 
Sawa,

wote kwa pamoja watakutana na gaidi kwenye kasero kadogo kenye joto
 
Haujalewa? Hajafunguliwa mashitaka na DPP, kafunguliwa na wakili wa kujitegemea.

Cha kujiuliza ina maana mamlaka haijaona dosari zozote alizozifanya wakati akihudumu kwenye nafasi hiyo, aje tu raia from no where aanzishe kesi binafsi!

Je huyo wakili ni dhamira yake kweli, au kafanywa chambo na wafadhili hasa walioguswa na sakata la madawa?

Maana yake nimesoma shitaka alilofungua ni la Makonda kutumia madaraka vibaya kuingia ofisi za studio za Clauds akiwa na silaha.

Nakumbuka issue hiyo ilimalizwa na wahusika kusamehe, leo limekujaje kuibuliwa na mtu binafsi ambaye hajatendwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinai haiexpiry
 
Back
Top Bottom