Kwa hili la NSSF na mifuko ya jamii serikali imechemsha

Kwa hili la NSSF na mifuko ya jamii serikali imechemsha

Kama mtakumbuka Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na Sheria ya Mamlaka zimefanyiwa marekebisho na kupitishwa na Bunge tarehe 13 Aprili, 2012. Sheria hiyo tayari imeshasaininiwa na Mheshimiwa Rais na imeanza kutumika rasmi. Marekebisho haya yanawahusu wafanyakazi wote nchini mwetu bila kubagua sekta yoyote ile.

Chadema pia wamo ndani ya hiki kipengele. Kama awajaipitisha, wajitokeze kwenye vyombo vya habari wakanushe. Au kama kuna uwezekano, wapeleke ojaa. Sipendi kuikumu CCM tu kwa hili.

Nina wasi wasi na uchajiagi mada wa namna hii ambapo tunatolewa kwenye issue na kutupwa kwenye non-issues.

Mkumbuke pamoja na kusema rais wa awamu ya tatu ndo alilegeza masharti au taratibu za mafao ndo huyo huyo aliyebadilisha umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 55 kwenda 60.

Hii ilitokea pale walipokomba pesa yote ya NSSF na PPF (Mkapa + SUMAYE SAGA) ndipo consultancy walipoingilia na kushauri kuongeza umri na kuijenga mifuko upya kwani hapakuwepo na mstaafu yeyote ndani ya miaka 5.

Na hii ni pesa ya mifuko ya jamii baada ya ku-miss use na kuipeleka kwenye PROJECTS mbali mbali (UDOM, KILIMO KWANZA, KIGAMBONI, WIZI, n.k) sa account zake ni nyeupe!!! Ndipo sasa another clever creators wameingilia na kuokoa NGOMA na kufunika KOMBE ili mwanahamu apike. Kwa UFUPI mifuko imekauka na sheria hii ni mahusisi kujaribu ku-accumulate na kuziba gaps waki assume it will work!!!!
R.I.P Dear workers.
 
Kwenye kuchangia maoni ya katiba mpya. Jamaa alisimama na kusema, kwenye wimbo wa taifa, maneno ''wabariki viongozi wake'' haya maneno yaondolewe kabisa. Sababu viongozi hawana faida yoyote na wengi ni mafisadi. Sasa nimeanza kumuelewa huyu jamaa.
 
Hivi hili swala wabunge linawahusu au ni sisi wafanyakazi tu? Au wenzetu ubunge ukiisha ruksa kuchukua pesa yao?
Tusije tukawa tunaonewa sisi akina yakhe tu!
Mkuu,wabunge wanachukua pensheni zao kila baada ya miaka 5 nasikia ni mamilion ya pesa kwa hiyo Mbunge akimaliza kipindi kimoja anapata pensheni yake mara moja,so Mbunge akibahatika kuwa Mbunge kwa kipindi cha miaka 20 au zaidi kila baada ya miaka mitano anachukua peshen hiyo.
Kwa hiyo haliwahusu wao hata kidogo!!!
 
CHADEMA pia wametuangusha kwa hili. Mbona sikuzisikia kelele za hata mbunge moja akilipinga hili, angalau ziwe kelele kama za mbwa ko ko, zingemwogopesha mwizi. Bali imepitishwa na wabunge wote

Shame on you CHADEMA!
Hiv ni kweli hawa (WABUNGE)wameshapitisha au ni tetesi tu?.Si dhani!!,inamaana na umakini wa wabunge wa CHADEMA na wao wameleweshwa na posho za kukaa!!???.Kama imeshapitishwa basi sentensi yangu ya mwanzo nafuta neno "wabunge" badala yake isomeke"MBWA".Nina hasira na sina pa kukimbilia nimeibiwa mwenzenu!!!
 
  • Thanks
Reactions: rom
\

Hiki ni kilio chetu wengi!
 
Kwa hiyo unamaanisha Wabunge Ni MABMWA basi wa CHADEMA MIJIBWA KOKO
 
Back
Top Bottom