Kwa hili la Lissu Kupelekwa Kenya ni Aibu kwa Tanzania

Eboh!!! Watu mnakasirishwa na vitu vya '!!!!
Wadau amani iwe nanyi,

Poleni sana kwa tukio la mpendwa ndugu yetu Tundu Lissu, kwa hakika ni tukio la kulaaniwa si tu na binadam aliyekamili bali hata kwa wanyama na mimea pia vyafaa vilaani tukio hili,

Ni vema matibabu yake yakawa ya hali ya juu na kuzingatia usalama wake ikizingatiwa Lissu ni kiongozi mkubwa TZ,

Pamoja najitihada zote zilizofanywa za kuokoa maisha yake, nalaani vikali kitendo cha Ndugu Lissu kupelekwa kutibiwa Kenya. Kwa sababu hawa jirani zetu wamekuwa ni watu wanaojivuna kupita kiasi na huenda kitendo hiki kikazidi kuwavimbisha kichwa.

Ningetamani sana Lissu angetibiwa Hapa Tanzania au, Afrika Kusini au Nchi yeyote nje ya Afrika Mashariki. Hakika kwa kitendo cha kumpeleka shujaa Lissu Kenya, CHADEMA, Bunge na Serikali Immebugi.

Now ninaamani kwa kuwa nimeliongea lilokuwa linanisumbua.
Mbele ya uhai wa mtu, haijalishi anatibiwa wapi mbona hushangai jpm kulindwa na wanyarwanda?
 
Mi nawashangaa chadema Kenya wenyewe walikuka bongo kuomba madactari
Wewe inakaa kusoma au kuelewa ni challenge kwako.
Maghufuli ku-offer graduate doctors kw mwenzake Uhuru haimaanishi KE imekosa madaktari. On the contrary, huduma na ujuzi ni wa juu hadi malipo yakawa issue. For your information, mKenya wa kawaida Nairobi to Lokichoggio hana habari au shughuli Lissu ni nani leave alone kua Kenya kupata matibabu. We got bigger issues to sort.
Ni wazi kua kukosa kutembea kwa waTanzania wengi kunachangia pakubwa mawazo na kauli zingine za uivu, uzembe na uchochezi. Ukitembea soko la Gikombaa pale Nairobi, wauzaji kama asilimia tisini ni waTanzania; walinzi wote waMaasai Nairobi ni waTanzania.
Mtu akiwa busy na mambo yake na hana mda au issue nawe itakuaje anakuringia. Gharama za na maisha ya Kenya ni ya level tofauti na Tanzania, kodi yako ya mwaka haifiki ya mwezi mmoja hata Kitui wacha Mombasa au Nairobi. Usafiri hata usiseme, hakuna steji ya mia nne(ishirini ya Kenya).
So mjamaa, shukuru Mungu Mwalimu alitafuta, akaanda, akapakua na kuwalisha pia akawalisha. Mda mnao wakuyahoji na kuzungumza ya wenzenu; ila ya kujiendeleza na kujiongeza ni issue. Mie nikizingumza Kiingereza haimaanishi najua lolote zaida yako zaidi ya hicho Kiingereza; tatizo la mBongo (tofauti na mTanzania) ni uoga na maneno meeeengi yasio na misingi - you can't compensate for ignorance with arrogance; huwezi fidia ujinga kwa jeuri.
Sekta zetu (Kenya na Tanzania) za afya ziko na changamoto mingi sana toka na uongozi au sera duni na bure kutoka kwa serikali zetu. Kenya tuna sekta kubwa ya kibinafsi ambayo ina mahospitali makubwa na ya kisasa na pia yana wapa ajira na ujuzi wa kisasa matabibu. Maendeleo sio ya kuwachiwa na mbeberu, yanatokana na bidii na jitihada. Mkondo hujakua rahisi au laini, naamini ni wazi kw wote wanaofaatia uchaguzi ulioko.
Mfano mmoja; ukitaka miliki TANZANITE, madini ambayo yanapatikana Tanzania peke yake ulimwenguni, ifaate Nairobi na sio Arusha! Tamko hili ni kutoka kwa mdomo wa waziri wa madini serikali ya nne. Jiulize jiwe hilo limefika je Nairobi?
Mazao ya jirani yakinawiri kwa sababu ya bidii zake, endea kurusha uchafu; usishangae kupata ni mbolea unachangia kwake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada povu limekutoka Lissu bado yupo hai!! Muhimbili wangemuua, South Africa masaa 4 angekufa njiani, Ukiachilia Kenya nchi zote za East Africa zinakula na Mtakatifu. MwenyeziMungu hakutaka afe, hata mkereketwe vp ndo hivo.
 
  • Thanks
Reactions: JMF

sio nakereka lissu kutibiwa.ila si kwa hao wakora hapo kenya
 
Bunge wala serikali hawajampeleka hilo tambua kwanza pia sasa ivi kwa jinsi mazingira yalivyo suspect mkubwa ni serikali sasa utawaamini vipi tena kuwapa mtu uyo, mana serikali imeshajijengea mazingira ya kutokuaminika kwa sababu ya matendo yao, hata kama ni mimi bora afie mbele kwa mbele sio kuwapa serikali tena , angalia roma, ofisi za serikali zile, bashite na silaa zake clouds, kauli za mkuu wa nchi hapana kwa kweli bora kaenda nje kwa usalama wake wala sio kwa ujuzi wa ma daktari
Mkuu kama issue ni usalama kwani amekwenda ukimbizini?
 
Wadau amani iwe nanyi,

Poleni sana kwa tukio la mpendwa ndugu yetu Tundu Lissu, kwa hakika ni tukio la kulaaniwa si tu na binadam aliyekamili bali hata kwa wanyama na mimea pia vyafaa vilaani tukio hili,

Ni vema matibabu yake yakawa ya hali ya juu na kuzingatia usalama wake ikizingatiwa Lissu ni kiongozi mkubwa TZ,

Pamoja najitihada zote zilizofanywa za kuokoa maisha yake, nalaani vikali kitendo cha Ndugu Lissu kupelekwa kutibiwa Kenya. Kwa sababu hawa jirani zetu wamekuwa ni watu wanaojivuna kupita kiasi na huenda kitendo hiki kikazidi kuwavimbisha kichwa.

Ningetamani sana Lissu angetibiwa Hapa Tanzania au, Afrika Kusini au Nchi yeyote nje ya Afrika Mashariki. Hakika kwa kitendo cha kumpeleka shujaa Lissu Kenya, CHADEMA, Bunge na Serikali Immebugi.

Now ninaamani kwa kuwa nimeliongea lilokuwa linanisumbua.
Ndo maana una akili za mbayu wayu, hongera
 
Back
Top Bottom