Kipindi cha siasa nakampeni mambo yote ruksa kuzomewa,kutupiwa chupa ruksa na hili lilifanyika kipindi hicho sambamba na kuzomewa Dr Pombe hivyo avumilie ni kipindi cha mpito na tayari kimepita tuchape kazi wakuu.
dadaa it's high time u started living a normal post-election life,,, inaonekana huu uchaguzi umekuacha kwenye msongo mkubwa wa mawazo u seem to be in self denial.. uchaguzi umeisha uliempenda hakushinda (ama labda ameshinda ila sio alietangazwa) lakini muhim zaid maisha lazima yaendelee.. acha kuona aibu kwmb uliongea mengi ukatukana wengi kwamba wanaweza kua wanakuchora sasa hivi,, wee toka kafanye mazoezi, nenda ku party onana na marafiki itakusaidia sana dada angu
"mbona hapa naona kalamu yataka kuteleza na lugha kuanza kusimulia yasiyokubalika? Si sheria ya mtandaoni itaiingilia kati kwa anayejaribu kupindisha ulimi!!"