Kwa hili ITV chukueni hatua

Wapuuzi wachache hawawezi kuiondolea heshima ITV na Mengi.
Waungwana tutaendelea kuiangalia na kumheshimu Mengi.

Kweli kabisa ndugu mtanzania mpenda utu wa kila mtu
 
wewe ni nani hadi unipangie mtu wa kumpenda na kumpa kura yangu???bila shaka utakuwa dictator...ni nani alie mzima aanze kumnyoshea mwenzie mkono huku vidole vitatu vikimrudia na kimoja mungu akishuuhudia???huo mfumo wenu wa kujiona miungu watu ndio umetuchosha ndio maana tulidiriki kusema hata lingewekwa jiwe na ccm tungechagua jiwe...tumepiga kura tumemchagua tumpendae tena kwa kishindo lakini mengine siwezi kuelezea
 
Sasa king'amuzi gani umekitupa ktk dust bin? Nijuavyo mimi ITV haina king'amuzi, ipo kote kote tu, yaani ulipo ipo! Utajikuta umetupa ving'amuzi vyote!

Mkuu huyo inawezekana hata tv hana
 
Mi nsaachana na ilo li itv

nipo azam na kingam,uzi ; nimemekitupa kwenye dust bin

m,,.... Zi mku.bwa

Hiyo tv yenyewe huna
 
Wapuuzi wachache hawawezi kuiondolea heshima ITV na Mengi.
Waungwana tutaendelea kuiangalia na kumheshimu Mengi.

afu mbaya zaidi ITV ndicho kituo kilichoshika nafasi ya kwanza katka kuonyesha habari za uchaguzi na pia ktk kipind cha aug.hadi oct.imeongoza kwa kuangaliwa sana hasa taarifa ya habari sasa sijui watakunywa sumu hawa wasioipenda??
 
Tulia dozi iwaingie, Lowasa wenu anaenda kuchunga ng'ombe vipi mtamsindikiza?

kwani wewe kiswahili ujui au kujichetua ushaambiwa ULIPO TUPO sasa unahoji nini!!!ni rais wetu malofa na wapumbavu nyie werevu nendeni mkamwapishe rahisi wenu
 
Wala usiumize sana kichwa na ITV wanatakiwa kuendelea na Kazi waliyoianza!
Kama mtu mzima anayeishi kwa Jasho la walipa Kodi na mwenye hadhi ya Uraisi wa Nchi anaweza kutoa Kauli kama hii na asiombe hata radhi ya kinafiki unategemea nini?

Yaani utegemee miujiza ?
Baada ya zomea zomea umesikia kiongozi yoyote wa Lumumba aliye laani tukio hilo?

Kweli kabisa mkuu Ccm ni chaka la majahili
 
kwani wewe kiswahili ujui au kujichetua ushaambiwa ULIPO TUPO sasa unahoji nini!!!ni rais wetu malofa na wapumbavu nyie werevu nendeni mkamwapishe rahisi wenu

Siwezi kupoteza muda wangu kwenda kuangalia ujinga wacha waende kina lyatonga
 
afu mbaya zaidi ITV ndicho kituo kilichoshika nafasi ya kwanza katka kuonyesha habari za uchaguzi na pia ktk kipind cha aug.hadi oct.imeongoza kwa kuangaliwa sana hasa taarifa ya habari sasa sijui watakunywa sumu hawa wasioipenda??

Wacha wanywe sumu na litbc lao
 
Wamechakachua kura zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…