cacico JF-Expert Member Mar 27, 2012 8,362 7,797 Jun 19, 2012 #21 WALIMWEUSI said: Dah, sipati picha umkute kimada wa mumeo anatumia jiko lako, nadhani utamkalisha kwenye jiko linalowaka aungue makalio yake. Click to expand... WALIMWEUSI mie sitadeal na huyo dada, mie namtaka mume wangu tu! ukute dada wa watu aliambiwa mi bachelor?? mi nadeal na huyu mwandani wangu.
WALIMWEUSI said: Dah, sipati picha umkute kimada wa mumeo anatumia jiko lako, nadhani utamkalisha kwenye jiko linalowaka aungue makalio yake. Click to expand... WALIMWEUSI mie sitadeal na huyo dada, mie namtaka mume wangu tu! ukute dada wa watu aliambiwa mi bachelor?? mi nadeal na huyu mwandani wangu.
cacico JF-Expert Member Mar 27, 2012 8,362 7,797 Jun 19, 2012 #22 asigwa said: ila vimada wanahusika sana kwenye ulimwengu huu wa mtu kuamka amenuna bila sababu Click to expand... asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
asigwa said: ila vimada wanahusika sana kwenye ulimwengu huu wa mtu kuamka amenuna bila sababu Click to expand... asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL!
cacico JF-Expert Member Mar 27, 2012 8,362 7,797 Jun 19, 2012 #23 Tuko said: Sasa hii itakuwa too much... Hata hivyo dada kiukweli mara nyingi hatufanyi hivyo kwa kuwa hatuwapendi au hatuwaheshimu. Inatokea tu... Click to expand... Tuko, ndio naomba isitokee tu, kuweni na heshima kidogo. itasaidia sana! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tuko said: Sasa hii itakuwa too much... Hata hivyo dada kiukweli mara nyingi hatufanyi hivyo kwa kuwa hatuwapendi au hatuwaheshimu. Inatokea tu... Click to expand... Tuko, ndio naomba isitokee tu, kuweni na heshima kidogo. itasaidia sana!
Tuko JF-Expert Member Jul 29, 2010 11,178 7,320 Jun 19, 2012 Thread starter #24 cacico said: Tuko apology accepted! lol, na siye tunaomba hata kama mmebanwa vipi, mnawataka hao masecretary, nendeni mbali basi, sio kwenye nyumba zetu, na matrimonial bed zetu, kha! Click to expand... Nawalaani wanandoa wote wanaoweza kufanya unajisi katika altare hizi za kuadhimishia sakramenti ya ndoa
cacico said: Tuko apology accepted! lol, na siye tunaomba hata kama mmebanwa vipi, mnawataka hao masecretary, nendeni mbali basi, sio kwenye nyumba zetu, na matrimonial bed zetu, kha! Click to expand... Nawalaani wanandoa wote wanaoweza kufanya unajisi katika altare hizi za kuadhimishia sakramenti ya ndoa
Tuko JF-Expert Member Jul 29, 2010 11,178 7,320 Jun 19, 2012 Thread starter #25 cacico said: asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL! Click to expand... Umesisitiza sana hili cacico... ulishatendwa nini?
cacico said: asigwa, yawezekana kweli vimada wana umuhimu, ila FANYIENI MBALI, NIYO NDIYO POINT YANGU, SI KWENYE NYUMBA YANGU, NIPO, NIMESAFIRI. MPELEKE MBALI LOL! Click to expand... Umesisitiza sana hili cacico... ulishatendwa nini?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jun 20, 2012 #26 Tuko said: Umesisitiza sana hili cacico... ulishatendwa nini? Click to expand... maybe keshatendwa au ni mtendaji vile vile uwezi jua bwana....
Tuko said: Umesisitiza sana hili cacico... ulishatendwa nini? Click to expand... maybe keshatendwa au ni mtendaji vile vile uwezi jua bwana....