Kwa hili, hachomoi mtu

Ongera kwa kushirikisha kichwa cha juu kabla ya cha chini, ni wanaume wachache sana wenye uwezo huo, hapo lazima kichwa cha chini kikulaumu. Wengine huwa hatunaga maswali kama hayo ulouliza, tukionaga tu kichwa cha juu kina zimia kinabaki cha chini katika utendaji, hapo inayobaki ni kulaga tu, ukimaliza kichwa cha juu kikipata fahamu ni kujilaumu kwa kwenda mbele.
 
hata mimi nimeona hivyo hivyo na amekatiza story nusu kuna kitu alifanya kabla ya kupiga simu aisituleteee.

hatupendagi story za nunu nusu ujue?
Mbona iko wazi my dia, nimesema baada ya kuongea na jamaa angu ndo ikawa salama yangu. It means nikawa nmeruka kihunzi trough that trick.
 
Mbona iko wazi my dia, nimesema baada ya kuongea na jamaa angu ndo ikawa salama. It means nikawa nmeruka kihunzi trough that trick.
siamin kiviiile. baada ya kuwasha taa hukujaribu hata kidogo kusogea kidogo kwa kochi?
 
Uwiiii, we jamaa naona umeamua kukipa baraka zote kichwa cha chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…