Kwa hili, hachomoi mtu

Ningekuwa mimi muda huu nafurahia tu kusuuza rungu

Miaka 30 kavu kitu gani bhana
 
Duuuuh [emoji15] [emoji15] kuna watu hamna misisimko jamani yaani umeona hadi pale kati pata..afu unakula kunjo aaaaah[emoji17] [emoji17] [emoji17] yaani ingekua mimi kama mbwai mbwai
 
Uo ulikuwa mtego mbaya sana. Siku zote kataa aina hiyo ya michezo. Mwisho wake huwa mbaya sana
Acha woga Mkuu.
Kwenye utamu kama huo unafikiri alichezewa mchezo hapo?
Mwisho wake ungekuwaje?
 
Ana mimba changa, anatafutwa mtu anaeeleweka wa kukabidhiwa.
 
Hongera sana kwa ujasiri huo, BARIKIWA KWA KUIKIMBIA ZINAA.
 
Duuuuh [emoji15] [emoji15] kuna watu hamna misisimko jamani yaani umeona hadi pale kati pata..afu unakula kunjo aaaaah[emoji17] [emoji17] [emoji17] yaani ingekua mimi kama mbwai mbwai
Sometime jifunze kushinda majaribu..
 
nahis kama story haijaisha vile..........
hata mimi nimeona hivyo hivyo na amekatiza story nusu kuna kitu alifanya kabla ya kupiga simu aisituleteee.

hatupendagi story za nunu nusu ujue?
 
hata mimi nimeona hivyo hivyo na amekatiza story nusu kuna kitu alifanya kabla ya kupiga simu aisituleteee.

hatupendagi story za nunu nusu ujue?
Kabisa aje amekamilika kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…