Kwa Hili Graduates Bado Sana

Kwa Hili Graduates Bado Sana

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
Uwezi kufanya jambo kila mtu akaridhika... na ukifanya mambo kuridhisha watu utajikuta pale pale.

Tatizo la graduates wengi ni waoga wa competition.. Unalalamika interview ni watu wengi je kama wote wamekizi vigezo tatizo la HR ni lipii? wakiitwa wachache kila interview usipokuta jina lako unalalamika wanawekana kuna udini, kuna undugu... je wafanyenini?

Kazi sio sawa na mirathi kwamba utaitwa na wazazi wako wakukabidhii tuuu... unatakiwa upambane.. siasa za ujamaa zimepitwa sasa hiviii tuko CAPITALISM NA KATIKA CAPITALISM ONLY THE FITTEST WILL SURVIVE..

kwaiyoo embrace challenges in order to be competent... Sio kila jambo mnalalamika ukitegemea kuitwa interview peke yako hiyo ofisi itakuwa ya mzazi wako.. UKIONA wameitwa wengiiii na una ramani zakoo usipoteze muda achia wenye shidaaa hiyooo... LAWAMA NI MZIGO WA MAFIIII UTAKUNUKIA NA WEWE.. BE RATIONAL...

this is capitalism the world in which strongest will survive the weak will remain poor. SO HATE ALL WEAKNESS, HATE ALL WEAKNESS IN OTHERS BUT MOST OF IT, HATE ALL WEAKNESS IN YOUR SELF. EMBRACE COMPETITION TO BE THE FOUNDATION OF COMPETENT WORKER IN YOUR SELF. THE FACT is hawawezi kuita wachacheee ila wataita wengi wenye vigezooo mshindanie nafasi 1.

MAISHA HAYANA FORMULA MSIISHI KISOMI SANAAA MENGINE ELIMU YA MTAA NDIO NGUZO MAMA.. JENGA URAFIKI NA NJAA UISHI JANGWANI KAMA NGAMIA... MAISHA HAYAITAJI SILAHA JAPO NI VITA YA KUUMIA. Life is all about competition.... ni vitaaaa..Watakuja wengine wana kazi na magari kwenye interview ila usiogopeee pambanaa hata wakija na ndegee. you can't avoid that.

acheni kulaumu HR WAKO FAIR. Laumu kama kuna unfair competition.
 
Watakuja kukusoma muda si mrefu.
Wanataka wakimaliza chuo wapangiwe post kiulaini bila hata kujua jinsi ya kuchuja mbu na ngamia vichwani mwao!
 
Kuna wengine nilikutana nao pale IFM nadhani ni wanafunzi wa IFM wakawa wanabishana wao kwa wao..kuwa kama akimaliza chuo basi akipata kazi anataka kulipwa kiwango cha chini mil 1.5 hakika wale madogo niliwaangalia nikabaki nasema ngoja mmalize chuo manina zenu......mtatamani hata mshahara wa laki 1 kwa mwezi.
 
hawajui vita iliyokuwepo huku mtaani... wangejua wasingetamani kumaliza chuoo ikibidii.. ila wajipange kabla hawajamalizaaa... hivi ni vitaaaa vya bila silaha.
 
Watakuja kukusoma muda si mrefu.
Wanataka wakimaliza chuo wapangiwe post kiulaini bila hata kujua jinsi ya kuchuja mbu na ngamia vichwani mwao!
wakubaliane na matokeooo na kila mwaka contena inatemaaaaa... kwaiyooo bora wanazidiii na ushindani unakuwa mkubwa zaidiii na haikwepekiiii.
 
Taaluma nyeti is also an option kwa watu wasiopenda competition na wanaopenda kuwa wa kawaida

Kozi za afya
 
yaani tofaut ni taaluma za kupangiwa kama afya na elimu,wengine wote lazima tujifunze kuwa washindani haswaaa! interview ndiyo atakuwa mwajili wetu...na hapo ndo umuhimu wa mambo ambayo watu huyakwepa wawapo shule huonekana kama vile kukwepa debate,presantation,kuvaa tai,kuchomekea,speak english n.k!! only the strongest in confindence will survive!
 
for suree
 
uzembe ndio tatizo la vijana wengi wawapo vyuoni/shuleni,,, na uzembe huu huanzia toka sekondari mpaka vyuo vikuu,,, haina haja ya kuzungusha maneno,, ukweli ni kwamba vijana wengi wakitanzania wawapo shuleni wengi wao huendekeza mambo ambayo sio muhimu na lazima katika wakati huo wakiwa kwenye masomo,, mfano NGONO, STAREHE ZA KWENDA KWENYE MACLUB, KUTOTUMIA MITANDAO VIZURI... ukiwa shule unatakiwa 75% ya muda iwe ni shule, 15% usome elimu mtaani baada ya shule, 10% michezo na kupumzika.. ukiwa shule soma uwe wa kimataifa na si kusoma ukafanye kazi TRA kwa mjomba, jitahidi katika kusoma kwako kwenye hiyo elimu yako uangalie ni kipi mtaani kinaweza kukupa hela ya kula.. ukiwa likizo tenga muda wako kujifunza skills mfano welding, computer repair and maintenance, aircondition repair and maintenace, ujifunze hata kumwaga oil za magari (service ya gari kwa ujumla),, usipende kukaa mda mwingi na masharobaro/matoz huwa hawana michongo zaidi ya ujinga tu jichanganye na watoto wa kitaa usikie idea zao na ramani zao mfano manzese,tmk, kinondoni, ilala,magomeni......

UZEMBE NI JANGA TANZANIA,, TUPAMBANE NAO.. HUU UGONJWA WA UZEMBE UTANGAZIWE VITA YA KITAIFA.. tupunguze wale wakata kucha na watengeneza nywele kazini kwani taifa masikini hili,,,,watu wafanye kazi, wanafunzi wasome kwa bidii bila uzembe uzembe.
 
vijana wengi wakitanzania sio strong kwenye kazi nina maana sio wachapakazi,, 87% ni wavivu na wapo kwa ajili ya mwisho wa mwezi na kuangalia afanyeje aitia hasara kampuni kwa maana ya kuiba... wapo wengi ambao wanavaa tai na kingereza wanaongea vizuri ila sio wachapa kazi.. Watu wajengewe mazingira ya kuwa wachapakazi na waamini kwenye uchapakazi mfano angalia wafilipino,,, taifa likijulikana watu wake ni wachapa kazi hicho kingereza na kuvaa tai havisaidia, ila ikisha julikana tanzania kuna work force inayojituma kwenye kazi katita kada mbalimbali basi watu watapata ajira na kiingereza hiki hiki chakuunga.... Asilimia kubwa ya vijana hapa tanzania wanawaza mda wa kutoka kazini tu ili waende kwenye vipub na kwenye kuigiza mitaani.

cha maana ukiwa shule ni kuelewa kile ufundishwacho theory na application zake, ujijenge kwenye altitude ya kufanya kazi kwa bidii na sio ujanjaujanja.
 
for sureee
 
hawana juhudiiii na sio wabunifu.
 
Well said
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom