Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Kauli ya Mheshimiwa Mbowe kuwa iwapo CHADEMA kitashika dola mwaka 2015 watawala wote wanaotumia fedha za umma kwa maslahi binafisi watashitakiwa mahakamani na kupewa adhabu stahiki kama ilivyo kwa nchi zingine, itafanya CHADEMA kisiwe nacho chama cha kifisadi kama ambavyo imewahi kutokea katika nchi zingine.
Nakumbuka Chiluba wa Zambia baada ya kuingia madarakani kwa kumwangusha Kaunda, alitumia vibaya fedha za nchi yake yeye na familia yake, na baada ya kutoka madarakani alisota jela.
Najua watawala wa sasa ccm na wale wote wanaofaidi fedha za nchi kifsadi hawatafuraia kauli hii, lakini kwa hakika hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda mali ya umma kwa maslahi ya taifa. Nawala hii sio kulipa kisasi kwa watawala waliopo madarakani.
My take: JK aanze kutekeleza kauli hii ya mbowe kabla hajatoka madarakani. Hii itampa heshima baada ya kuachiangazi.