Kwa hili, Chadema na ACT Wazalendo hapana

endesha

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,109
1,452
Awali ya yote nikiri wazi kwamba mimi ni muumini wa ushindani kwa sababu mara nyingi ushindani huzidisha ubunifu na uwajibikaji.

Hua si msikilizaji wa redio lakini,Jana mara saa 2:00 usiku radio ikawashwa(TBC habari).Moja ya habari zao ni ile ya Wafuasi 26,000 sijui wa CHADEMA Kuhamia NCCR Mageuzi.

Si ajabu kuhama chama sababu ndio demokrasia.Lakini Wanachama wengi kuhamia NCCR ni big NO.Kwa mvuto gani?.Na hii ni PROPAGANDA inayosukwa kwa nguvu zote ili kuaminisha watu kwamba NCCR inakubalika na itakuwa chama mbadala.

Ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT, kuwepo na timu ya kujibu Propaganda hizi. Maana kuna wengine wataamini huo Usanii.Kutengeneza Upinzani dhaifu si afya kwa uwepo wa Check and balance.

Ni hayo tu
 
If you remember Bwana Mbatia- M/Kiti wa NCCR Mageuzi aliitwa Ikulu na Magufuli na Kuna kitu waliongea na juzi Tena Magufuli kamsifia Mbatia eti anafanya siasa za kistaarabu. Hiki Ni Kichekesho! NCCR Wana Mbunge 1 tu nchi nzima!!
 
Back
Top Bottom