kaka u have spoken the truth, it was a wrong timing for cdm to mention the names au unless cdm wanataka kuonekana wao ndio wameshinikiza watu fulani kuttimuliwa CCM,Ili baadae ionekanekane kana kwamba bila wao kutaja majina basi jamaa wasingefukuzwa! this is old tactic ni vizuri umeliona hili na umelizungumzia! ishu ya magufuli kuuza nyumba,si swala la leo kwanini leo ndio wanaona ndio ufisadi?? Slaa alipokuwa bungeni mbona hakuonekana kulivalia swala la uuzaji wa nyumba hizo wakati huo alikuwa mbunge mtu ambaye ana dhamana kubwa sana,hizi kelele anazopiga sasa hazina mashiko coz he is just a mere person( just a party secretary)
Kweli kaka, ishu ya Magufuli kuuza nyumba siyo ya leo!! Ila ishu ya ufisadi wa RA, EL na Chenge ni ya leo! Na siyo Chadema waliosababisha hiyo chokochoko ndani ya ccm, wakati m-kwere anawasafisha kwenye kampeni hakujua wala hakuwahi kusikia kuwa ni mafisadi ila sasa yeye na ccm yote 'wanawajua' mafisadi... Hongera sana chama cha magamba!kaka u have spoken the truth, it was a wrong timing for cdm to mention the names au unless cdm wanataka kuonekana wao ndio wameshinikiza watu fulani kuttimuliwa CCM,Ili baadae ionekanekane kana kwamba bila wao kutaja majina basi jamaa wasingefukuzwa! this is old tactic ni vizuri umeliona hili na umelizungumzia! ishu ya magufuli kuuza nyumba,si swala la leo kwanini leo ndio wanaona ndio ufisadi?? Slaa alipokuwa bungeni mbona hakuonekana kulivalia swala la uuzaji wa nyumba hizo wakati huo alikuwa mbunge mtu ambaye ana dhamana kubwa sana,hizi kelele anazopiga sasa hazina mashiko coz he is just a mere person( just a party secretary)
Mbona umeangalia upande mmoja tu wa shilingi japo kuna pande mbili?Ngoja nikusaidie kidogo maana JF ni shule yabure,no need for tuition fees.
Walichofanya Chadema this time could be even more effective than when they made public the first LIST OF SHAME.Kwa upande mmoja,Chadema wameamua kuutangazia umma kuwa ufisadi ndani ya CCM sio tu the so called magamba yaliyovuliwa bali tatizo hilo ni extensive zaidi.Kwa upande wa pili,na hili ni muhimu zaidi,Chadema wameiweka CCM katika wakati mgumu zaidi.Hebu jiulize,je Nape au Mukama wakienda mikoani na kusema "mafisadi lazima wajiondoe2 watakuwa wanamaanisha mafisadi wapi?Wale wa mwanzo,hawa waliotajwa sasa,au wote?
Na kama by mafisadi wajiondoe itamaanisha akina Lowassa pekee,then nao watahoji "kama mmeamua kutufukuza kwa vile tu tumetajwa na Chadema kuwa sie ni mafisadi,what about hao walioongezwa kwenye list?".Remember,hadi sasa serikali ya CCJM haija-produce ushahidi kuwa Lowassa na wenzie ni mafisadi.So far,chanzo pekee ya ufisadi wao ni kauli za Chadema.In similar way,chanzo pekee cha ufisadi wa akina Malecela,Mangula na Magufuli ni Chadema.
Kwahiyo wakati unazungumzia timing,unazembea kuangalia ESSENCE ya mkakati huo.Kadhalika,ni muhimu kwako kutambua kuwa mapambano dhidi ya ufisadi,ambayo Chadema imeamua kuyavalia njuga kwa kushirikiana na watanzania wote wazalendo,ni mithili ya kuwa vitani.Adui anapojaribu kuzorotesha mapambano,ni jukumu la makamanda wa vita kuboresha mbinu lakini bila kusima awala kuathiri mapambano.
Pengine ungeweza kutusaidia zaidi kwa kutueleza ushauri wako as to ungependa Chadema wafanyeje baada ya CCM kuwahadaa Watanzania kuwa imejivua gamba la ufisadi.Did you want or expect Chadema kutuma salamu za pongezi?Na kama Chadema walikuwa na orodha ya ziada ya mafisadi ungependa waitangaze mwaka 2015 au?
Kwa taarifa yako tu,Chadema wana orodha ndefu zaidi ya mafisadi na wataendelea kui-update ile original ya Mwembeyanga kila unapojiri wakati mwafaka.Lengo sikumfurahisha kila anayesikia,especially mafisadi na wapambe wao.This is a war kila Mtanzania mwenye uchungu wa kweli na nchi yake cant afford to lose.
CHADEMA wanaweza kuendelea kuhangaika na watu ndani ya CCM. Sio vibaya na hasa inapokuwa ni mwaka wa uchaguzi. Baadhi tulitaka watuambie sera mbadala wa hizi za CCM kwenye mambo yanayowagusa mojakwamoja Watanzania kwa mfano:
-Huduma za jamii.
-Ugharamiaji wa SIASA na WANASIASA.
-Uchumi, uwekezaji, uwezeshaji, uondoaji umasikini wa watu na nchi yetu.
-Mapato, matumizi ya fedha na rasilmali za NCHI.
Na mengine mengi.
Wana JF
Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona CCM inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.
Halafu ni washauri kitu kingine kuwa CCM inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.
Kwa hili mimi CCM nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.

....wangekuwa wamewataja waliowaongeza kabla ya chama cha magamba kujivua gamba...
.... Sasa walipokuja kuwataja baada ya chama cha magamba kujivua gamba....
...it was a wrong timing for cdm...
Ahsante Joblube kwa kuleta thread hii. Ni jambo la msingi sana. Timing is everything. CHADEMA wametumiwa na Rostam Aziz na Edward Lowassa bila wao kujijua. List of Shame hii mpya waitoe baada ya siku 90 walizopewa mafisadi hawa ili tusije kuwasaidia katika mbinu zao chafu za kuzuia wasifukuzwe CCM. Lengo lao ni kuibua tuhuma mpya dhidi ya viongozi wengi CCM ili defence yao kwenye kikao kijacho cha NEC kiwe mbona tumetuhumiwa wengi, ikiwemo Kikwete, Sumaye, Magufuli, na wengine basi hatua zichukuliwe kwa wote.
Ukweli ni kuwa tuhuma dhidi ya Lowassa, Rostam na Chenge ni very serious, zimeenea nchi nzima na wenyewe ndani ya serikali na CCM wanajua ni za kweli. Wangetakiwa kuwa jela hawa watu, ila bado kuna kulindana serikalini.
Mimi nilileta thread inayofanana na hii ila moderators kwa "busara" zao waliamua kuitoa na kuificha ndani ya thread nyingine.
Chonde chonde moderators msifute thread hii wala kuificha ndani ya thread nyingine. Ni muhimu kujalidi suala hili kwa kina kwa maslahi ya taifa.
Thread yangu iliyotolewa na moderators ni hii hapa:
CHADEMA yatumika kuwaokoa Rostam, Lowassa wasifukuzwe CCM!
CHADEMA sasa imeanza kutumika kuwasafisha Rostam Aziz, Edward Lowassa na Andrew Chenge wasifukuzwe kwenye nafasi zao za uongozi ndani ya CCM.
Kutumika kwa CHADEMA ni sehemu ya mkakati wa Rostam, Lowassa na wenzake kuzuia wasifukuzwe kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) na nafasi zao nyingine za uongozi.
Mkakati huo unahusu kuitumia CHADEMA na viongozi wa vyama vingine vya upinzani, kama CUF, NCCR Mageuzi, UDP, TLP na DP ya Christopher Mtikila, kutoa tuhuma za kupikwa kwa viongozi wengi zaidi ndani ya CCM ili ionekane kuwa viongozi wote wa CCM wana tuhuma za ufisadi na si Lowassa, Rostam na Chenge tu.
Tuhuma hizo za kutengenezwa sasa zimeanza kusambazwa na kina Rostam dhidi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Jakaya Kikwete, na viongozi wengine waandamizi wa chama ambao wanaheshimika katika jamii, akiwemo John Magufuli, Samuel Malecela, Frederick Sumaye, Samuel Sitta, Bernard Membe na wengine.
Rostam na Lowassa wanaitumia CHADEMA ili kuzuia kufukuzwa kwenye CCM kupitia LIST OF SHAME mpya ya chama hicho cha upinzani ambayo imewataja kina Magufuli na Malecela. Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilibrod Slaa, ameingizwa mkenge
na viongozi wenzake ndani ya chama hicho kuitoa LIST OF SHAME mpya bila kujua kuwa mpango huo umepikwa na kina Rostam.
Rostam na Lowassa kwa kutumia viongozi wa CHADEMA ambao wako nao karibu wamemuingiza mkenge Dk. Slaa aitoe List of Shame mpya ili kuleta mvurugano ndani ya CCM.
Siyo "coincidence" hata kidogo kuwa CHADEMA waliibuka na LIST OF SHAME yenye majina mapya siku chache tu baada ya CCM kuwataka kina Rostam, Lowassa na Chenge wajiuzulu.
Inaeleweka wazi kuwa Rostam na Lowassa wako karibu sana na baadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA (siyo Dk. SLAA) na wamekuwa na mawasiliano ya mara kwa mara nao.
"Wanachotaka kufanya kina Rostam, Lowassa na Chenge ni kuibua tuhuma mpya za uongo dhidi ya Kikwete, Magufuli, Malecela, Sitta, Mwakyembe, Sumaye na viongozi wengine wa CCM ili wapate kujitetea kwenye vikao vya NEC vijavyo kuwa mbona kuna viongozi wengi za CCM wenye tuhuma lakini wanatakiwa wajiuzulu wao tu," alisema mpambe mmoja wa Lowassa.
Pia, Rostam na Lowassa wamekuwa wakitumia baadhi ya magazeti, likiwemo Tanzania Daima linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, katika mkakati huo wa kuibua tuhuma za kupikwa za ufisadi dhidi ya viongozi wengi zaidi ndani ya CCM ili wajinurusu kufukuzwa.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wiki hii CHADEMA ililazimika kukanusha habari za Tanzania Daima, gazeti la mwenyekiti wa chama hicho, zilizodai kuwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ametajwa kwenye List of Shame mpya ya CHADEMA.
Lowassa amemuajiri mhariri mkuu wa Tanzania Daima, Absalom Kibanda, kwenye jarida lake la UMOJA na amekuwa akimtumia Kibanda mara kwa mara kutoa habari na makala za kumsafisha Lowassa, Rostam na Chenge kwenye Tanzania Daima.
Inafahamika wazi kuwa Kibanda ana urafiki wa karibu sana na Lowassa na Rostam na amekuwa akitumiwa mara kadhaa kuwachafua maadui zao, ikiwemo Samuel Sitta, Bernard Membe, Harisson Mwakyembe, na wengine.
Mafisadi wamekuwa wakipenda kulitumia sana Tanzania Daima mara nyingi kujaribu kujisafisha kwa kuwa linaheshimika kwenye jamii kwa kuonekana kuwa gazeti "huru" kuliko magazeti ya RAI na Mtanzania yanayomilikwa na Rostam.
Kwa kufuata maelekezo ya Lowassa, Tanzania Daima juzi iliandika habari ya uongo kwa makusudi kuwa CHADEMA imemtaja Sumaye kwenye List of Shame mpya.
Bado ni kitendawili kikubwa kwa nini Mbowe anamruhusu mhariri wake mkuu, Kibanda, kuwa mwajiriwa wa Lowassa na hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi na kimaadili (conflict of interest/ethical dilemma) katika kazi zake Tanzania Daima.
I think there is a point here.
Wana JF
Mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa CHADEMA ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa Tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona CCM inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.
Halafu ni washauri kitu kingine kuwa CCM inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.
Kwa hili mimi CCM nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.
umeongea kweli hapo mkuu. Waarabu wanasema swadakta, washirikina twawile.wana jf
mimi ni mmoja wa watu wanao amini kuwa chadema ni chama makini hata zaidi ya chama chochote kwa sasa hapa tanzania. Lakini kwa hili mlilolifanya la kutaja list nyingine hapa mmeingia mkenge bila kujua. Siimanishi kuwa mliowataja sio mafisadi ila mmekwenda kwa hisia zaidi bila kuafanya timing haukuwa wakati muafaka kwa kuwa sasa mnaonekana kuwa baada ya kuiona ccm inajisafisha mnatafuta kitu cha kuwachafua ili waendelee kugombana. Hili watu wanaweza kulichukulia kuwa hata waliotumuliwa na ccm si mafisadi kweli kweli bali ni mambo ya kisiasa kitu ambacho si cha kweli. Na hoja ya ufisadi mlioianzisha ambao umeifikisha nchi yetu hapa ilipo ikaonekana ni mambo ya kisiasa haina uhalisia.
Halafu ni washauri kitu kingine kuwa ccm inapofanya jambo jema kama walivyofanya ya kutimua mafisadi si mbaya makawapongeza kama kweli lengo ni kuwatetea watanzania pia mnaweza kuengeza kuchambua mapungufu ya yale mazuri ccm waliofanya kwa mfano haiwezekani mtu akawafisadi na kufukuzwa na chama alafu akawa mzuri kwenye nafasi ya ubunge. Lakini kukimbilia kuongeza list tena ya watu ambao jamii hasa sisi tuliohuku vijiweni (site) tumeshawaamini kuwa ni wasafi japokuwa wanaweza wasiwe wasafi mmeingia choo cha kike kama msemo wa watoto wa mjini wanavyosema.
Kwa hili mimi ccm nawapongeza lakini bado wananuka sana kiasi ambacho siwazi kwa sasa kuwapa kura yangu. Lakini something is better than nothing.