Nimefuatilia mdahalo wa Star TV kati ya Heche na Nape, Chadema wanatisha. Hivi vifaa mlivyonavyo hakuna tofauti na akina Lionel Messi. Huyu Bw Hache ameongea hoja iliyonifurahisha sana, kwamb CDM wana "Chadema Student Organisation" (CHASO), kuhakikisha kuwa hata kwenye ngazi ya udiwani wanaingia wasomi. Nape nae kaongea lakini mengi ilikuwa kuwatetea mafisadi na magamba yao. It was a funny debate.
Nimecheka eti Heche kama Messi, kuna siku tutaambiwa Loser Dk Slaa zaidi ya Obama
Vilituwakilisha kwenye mjadala wa Heche na Nape au?Sura ya Avatar yako na mawazo yako vyote vinashahibiana!
Mbona gazeti lenu la tanzania daima linaongoza kwa kutetea mapacha watatuHeche ni dhihirisho kwamba hoja za chadema ni kwa maslahi ya taifa na si kutetea mafisadi na wezia
Nimecheka eti Heche kama Messi, kuna siku tutaambiwa Loser Dk Slaa zaidi ya Obama