Nakubaliana na mtoa mada mia kwa mia.maombi ya miaka mitatu hayawezi kuisha bila majibu.Mimi naliita kanisa lile KANISA LA MAOMBI.
Habari zenu wakuu,kwa kweli napenda kumshukuru Mungu kwa uzima
Binafsi napenda kumshukuru Mungu kupitia mtumishi wake KAKOBE kuhusu suala la TANESCO,wadau kusema kweli bila yeye haya madudu ya TANESCO na hadi iliyopelekea waumini kuomba na hatimaye MUNGU akamgusa mheshimiwa raisi kumtoa uwaziri Ngeleja na kina jairo,
Binafsi naona suala la Ngeleja kushindana na watumishi wa Mungu ndio kimemshusha hadhi na hivyo kuletewa waziri mwajibikaji Mh.MUHONGO na kufanya hata mwananchi wa kawaida sasa anaweza kupata nishati hii adimu ya umeme kwa viwango vya chini kabisa,
Hili ni jambo la kumshukuru sana M ungu.nawasilisha
Mmetumwa nyie wapiga debe.
Mmetumwa nyie wapiga debe.
Natamani nikupe like ila simu yangu inazngua.Yan umenifkisha kilelen kabsaaa.Wendawazimu hawaish humu jf wangejua hao kina kakobe wanatumia nguvu za....Ah wino umeisha kwenye peni
Mmetumwa nyie wapiga debe.
go on go on kakobe wacha waseme, kiama che2 kinakuja bora mimi nli2bu mapema.
Natamani nikupe like ila simu yangu inazngua.Yan umenifkisha kilelen kabsaaa.Wendawazimu hawaish humu jf wangejua hao kina kakobe wanatumia nguvu za....Ah wino umeisha kwenye peni