Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,446
- 8,085
SawaMkuu unaweza kuhimili vishindo vya humu?
Subiri waje utapata haki yako.
Ndondocup 2017 waleteeeTeh teh hii ngoma siwezi kuicheza ngoja waje wandengereko...
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Watoa Assist waje huku sasa
Assist zikiwa nyingi na magoli ni mengiassist za kaa steven gerrard kwa Michael owen
Sasa kwa hakili hz nan wakulaumiwaHuyu Shetani mtamsingizia kila jambo mpaka lini?
Shame!We wa ajabu kweli shame ya nini sasa kwani huku kuna baba yako? Au kuna mtu aliyepewa wajibu wa kukutunza? Mtu atafute hela kwa jasho lake af uje na shida zako kumpangia matumizi..hela ya kwake ana haki ya kukupa msaada au kutokukupa. Na kama akikuonea huruma akakupa heshimu makubaliano...anayekimbia bila kulipa hela ndo yuko sawa?
Awe ngangari wengine tuliishia kubezwaMkuu unaweza kuhimili vishindo vya humu?
Subiri waje utapata haki yako.
Huyu dogo ni mwanafunzi bana, nimeshangaa sana nilidhani mpuuzi gani anataka kuturejeshea hasira zetu.Awe ngangari wengine tuliishia kubezwa
Au sio[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu dogo ni mwanafunzi bana, nimeshangaa sana nilidhani mpuuzi gani anataka kuturejeshea hasira zetu.
Bora shule zifunguliwe watupunguzie kelele