Sikutambua
Member
- Nov 16, 2014
- 46
- 5
Ukweli Ni Kwamba Kwa Yanayoendelea Tanzania Ccm Ijiandae Kukabidhi Madaraka Kwa Upinzani October 2015.

Habari nilizozipata nikwamba lowassa amesema uvumilivu sasa tosha,muda wowote sasa naye kumwaga mboga
Ni kweli mkuu, kwanza wsmechagua mtu ambaye si chaguo lao kwa hakika, pili hakuwa hata kwenye vupaumbele vya chaguo lao, tatu kapita accidentally kuepusha vurugu na si kwamba wanaamini kuwa ni mwenye kufaa!
Bila kupepesa macho na kumumunya maneno CCM byebye!

..r.i . p ccm...
Yapi hayo aisee
pumzika kwa amani
Yaani umemaliza mkuu
yaan hapo wengi wametoka na manung'uniko,tabasam uson simanzi rohoni,kilichowaponza ubungo,ndio kinaenda kuwamaliza oktoba,so long magamba.
Ukweli Ni Kwamba Kwa Yanayoendelea Tanzania Ccm Ijiandae Kukabidhi Madaraka Kwa Upinzani October 2015.
Ile voice call ya zitto akiongea na mtu wa arusha anaenda kumpokea lowasa mmesikia?mzee anaweza kufanya maamuzi magumu