Kwa Heri CCM

Kwa Heri CCM

Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.

Shukuru pia waombaji waliokuwa wamewaka kambi Udom wakiombea Taifa letu na viti vya udiwani,ubunge na rais visikaliwe na mtu mchavu na fisadi
 
Naamini ukawa kwa sasa wanajipanga tuone yao pia. Naomba msichelewe kama tulivyozoea kuwaona Chadema live siku 2 mpaka tatu mlimani city. Njooni ukawa ya Ccm yamekwisha watu wamekwenda msituni wanauguza majeraha.
 
Nani anabisha kuwa DEAL ya kupata candidate aliye mtaka MKULU imekufa bila kutegemewa?
MKULU hakutegemea kuwa baadhi ya wanakamati wa CC watatoka nje na kueleza kutofuatwa kwa taratibu za kuwapata 5 bora. Ilikuwa ni kama imetoka kwa Mwenyezi Mungu yaani hao (DR. Nchimbi, Mhs Sofia Simba na Mhs Adam …..) WALIKUWA MALAIKA WAKE!

WANA JF hatuna budi kuwashukuru hawa jamaa hata kama walikuwa wako kwenye kambi ya EL. Maana bila hivyo huyo jamaa wa KUSINI alisha tayarishwa! Imekula kote yaani kwa MUKULU pamaoja na EL.[/QUOT
Kabla ya kuwashukuru, hebu tukumbushe WANA JF tulikuwa kambi gani ya mgombea??
 
mtahangaika sana nyie viroboto lakini magufuli ndo rais wenu ajaye.

Ukweli Ni Kwamba Kwa Yanayoendelea Tanzania Ccm Ijiandae Kukabidhi Madaraka Kwa Upinzani October 2015.

Ni kweli mkuu, kwanza wsmechagua mtu ambaye si chaguo lao kwa hakika, pili hakuwa hata kwenye vupaumbele vya chaguo lao, tatu kapita accidentally kuepusha vurugu na si kwamba wanaamini kuwa ni mwenye kufaa!

Bila kupepesa macho na kumumunya maneno CCM byebye!

..r.i . p ccm...

yaan hapo wengi wametoka na manung'uniko,tabasam uson simanzi rohoni,kilichowaponza ubungo,ndio kinaenda kuwamaliza oktoba,so long magamba.

tumeskia ila we huoni ni kama hajiamin hiv,anawaambia tuu,muende mmobolise,kama hana uhakika,mwanzo ckujua ila lowwas,ni mtu powerful sana,pamoja na makandokando yake

Shukuru pia waombaji waliokuwa wamewaka kambi Udom wakiombea Taifa letu na viti vya udiwani,ubunge na rais visikaliwe na mtu mchavu na fisadi

Yes mkuu,wakiongozwa na mwalimu Christopher Mwakasege
 
Back
Top Bottom