Kwa haya ya Arusha, kwanini Rwanda, Uganda na Kongo wasikatae ushauri wa "JK"

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
10,482
12,392
Wanajamvi Hivi kwa matukio yaliyotokea ya milipuko ya mabomu yanayohusiswa na jeshi la polisi huko Arusha jmosi, ukizingatia jumuiya ya kimataifa inajua kinachoendelea, Je rais JK bado anao uwezo wa kusuluhisha migogoro ya nchi jirani?

Na je bado ana moral authoriy kuwashauri wanyaRwanda Waganda na Wakongo wakae meza moja na wapinzani wao kwa suluhu ya amani?
 
Sio JK anaye sulululisha mgogoro huo !!

Hata hiyo milipuko ya Mabumu Marekani , Uk ni Mingi kuliko hata TZ na hao ndio wenye balaza la usululishi umoja wa Mataifa!!!

Kiukweli Kikwete nchi imemshinda kuongoza lakini bado tz ina sifa ya kusululisha kwa kuwa anayesululisha si JK.
Wata kuja marais wengine kama SLAA na watasimamia ukweli na usululishi utaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…