Kwa haya simkubali Magufuli

Kwa haya simkubali Magufuli

Joined
Jan 17, 2016
Posts
24
Reaction score
23
Ninaamini watanzania hawajali nchi yao. Viongozi wanaiba hakuna anaejali, na viongozi wanaiba kwa sababu raia hawajali.

1. Kwa namna gani unaweza fukuza watendaji wa bandari na waziri husika kupangiwa wizara nyingine?

2. Kama bei ya mafuta imeshuka toka 150 to 30 barrel mbn Tanzania iko pale pale?nani yuko nyuma ya hii hujuma?na RAIA wako kimya hawasemi lolote wanaendelea kusifia ujinga.

3. Kama bwana mkubwa ni msafi kwnn wizara yake imepatikana na ubadhirifu ripoti ya CIG?uadilifu wako uko WAP?

4. Je, bwana mkubwa ataletaje maendeleo wakati amefka hapo kwa kubebwa na haijulikani nia katangazia wapi? Atawakana vipi waliomfikisha hapo alipo?

5. Je, tangu makontena yakamatwe bandarini, wananchi wamepata unafuu gani kimaisha? Waliohusika wamechukuliwa hatua gani kama wahujumu uchumi? Je hii ina tofauti gani na Kikwete aliposema walioiba warudishe?

6. Je, ni kweli bwana mkubwa hasafiri nje kwa sababu ana uchungu na sisi? Je, hili haliwezi husishwa na uoga wa kupanda ndege? Kumbuka kipindi cha kampeni bwana mkubwa alikataa helikopta. je ni uoga au uzalendo?

7. Mbona tangu aingie madarakani mambo huko Zenji yamekwama? Kama ni mzalendo kwanini asivunje katiba ya Zanzibar na kuamuru mshindi atangazwe kama kwl mpenda haki?

8. Amesema atakuwa Rais wa wote, mbona upinzani bado wanagandamizwa kwny uchaguz wa mameya? Haki iko wapi?

9. Kama yeye mzalendo, kwanini asikubali katiba mpya? Badala yake wananchi weng wasio na elimu juu ya mambo ya utawala wanashabikia?

10. Na mwisho mpaka sasa hivi sioni unafuu kwenye vifaa vya ujenzi. Je tatizo liko wapi?
 
Unge endelea hadi 29
walau kidogo
Lakini sio mbaya
Naona La Zanzibar limeanza kufulia
Mmeanza kujaribu mengine

PALIPO NA MALAIKA
SHETANI HAKOSI
 
mleta mada, hapo kwenye namba 7, hata maalim seif mwenyewe lazma apingane na ww, yaan magufuli AVUNJE KATIBA YA ZANZIBAR???? unaakiri wewe???
 
Labda tumuulize yeye kasha fanya mazuri mangapi ya kuchangia taifa? Mfano tu kasha omba risiti marangapi anapo nunu bidhaa??
Baada ya swali huwa jibi na swali then linajibiwa kwa swali
 
Hiyo namba 3 ni jipu lililoota sehemu za siri utumbuaji wake wataka umakini Na utulivu wa hali ya juu
 
Ninaamini watanzania hawajali nchi yao.viongozi wanaiba hakuna anaejali.na viongozi wanaiba kwa sababu RAIA hawajali.HV
1.kwa namna gani unaweza fukuza watendaji wa bandari na waziri husika kupangiwa wizara nyingine?
2.kama bei ya mafuta imeshuka toka 150 to 30 barrel mbn Tanzania iko pale pale?nani yuko nyuma ya hii hujuma?na RAIA wako kimya hawasemi lolote wanaendelea kusifia ujinga
3.kama bwana mkubwa ni msafi kwnn wizara yake imepatikana na ubadhirifu ripoti ya CIG?uadilifu wako uko WAP?
4.je bwanamkubwa ataletaje maendeleo wakat amefka hapo kwa kubebwa na hauikulikani nia katangazia WAP?atawakana vipi waliomfikisha hapo alipo?
5.je tangu makontena yakamatwe bandarini wananchi wamepata unafuu gani kimaisha?waliohusika wamechukuliwa hatua gani kama wahujumu uchumi?he hii INA tofauti gani na kikwete aliposema walioiba warudishe?
6.je ni kwel bwanamkubwa hasafiri nje kwa sababu ana uchungu na sisi?je hili haliwezi husishwa na uoga wa kupanda ndege?kumbk kipnd cha kampeni bwanamkubwa alikataa helikopta.je ni uoga au uzalendo?
7.mbn tangu aingie madarakani mamb huko zenji yamekwama?kama ni mzalend kwnn asivunje katiba ya Zanzibar na kuamuru mshindi atangazwe kama kwl mpenda haki?
8.amesema atakuwa RAIS was wa wote mbn upinzani bado wanagan damizwa kwny uchaguz wa mameya?haki iko WAP
9.kama yy mzalendo kwnn asikubali katiba mpya?badala yake wananchi weng wasio na elimu juu ya mamb ya utawala wanashabikia?
10.na mwisho mpk saiv sioni unafuu kwny vifaa vya ujenz je tatz liko WAP?
Kumkubali makufuli ni sawa na kumdhalilisha mzazi Wang alienisomesha


mkuu,
heading yako haijakaa vizuri. ww una maana hii" mambo ambayo ungelipenda Mh JPM ayafanyie kazi'
 
Hakuna awamu ambayo watu wameweza kuonesha unafiki wa kiwango km hii ya Magu, dunia inatushangaa sana
 
"Brain evolution" is still underway in one of the continents of thi planet.
 
CIG ndiyo kitu gani?

Wewe pia nadhani ni think tank wa CHADEMA.
 
Babu mbona una haraka kama bao la kwanza. Mtu ata miezi sita ajifikisha tayari umeshaanza kukosowa au ndio tuseme unayo damu ya upinzani mwezio mamvi kaakimya
 
Back
Top Bottom