Kwa haya machache, hongera Rais Magufuli

Tiririka mkuu leta hoja
Here is where people dare to talk openly
Atiririke nani? narudia tena, sina m.7, mtoa mada anaishi wapi? huku mtaani anajua vijana walivyo na ghadhabu kwa maisha magumu, kukosa ajira, kuzibwa midomo kwa "sheria ya chuma"
 
Hivi unaposema hali ya mfumuko wa bei kuwa kawaida unamanisha nini hasahasa?kwa kuwa bidhaa zinazidi kupanda bei na maisha yanazidi kuwa magumu kila kunapokucha kila siku ni vilio vinatawala ukija kwa watumishi wa umma ndiyo usiseme mpaka sasa hata senti tano ya Magufuli haijaongezwa,watumishi wa umma wanaishi kwa kutegemea mshahara ule ule wa jk wakati serekali inajiendesha kwa kutumia bajeti mpya.

Pia uanzishaji wa mahakama ya mafisadi ni wa kisiasa zaidi kwa kuwa mh Rais aliahidi kuanzisha mahakama hiyo kwenye kampeni zake ndiyo maana amelazimika kuianzisha Ili asije akaonekana kuwa ni muongo,kwani kulikuwa hakuna Sababu ya kuanzisha mahakama hiyo.

Kwa kuwa mahakama yenyewe haita kuwa inatumia sheria tofauti na Ile ya wahujum uchumi inayotumiwa na mahakama tangulizi,mbali na kutumia sheria ya wahujum uchumi ambayo siyo mpya pia mahakimu watakao kuwa wanatumika ni walewale kitakachobadilika hapo kwenye mahakama ya mafisadi ni jengo watakalo kuwa wanalitumia labda na mwamko wa utumiaji wa sheria ya wahujum uchumi ndio utakaoongezeka kwa kuwa matumizi ya sheria hiyo yalikuwa ni madogo Sana tangu utawala wa kwanza uliopitisha sheria hiyo uondoke madarakani.
 
Kajifunze vema dhana ya mfumuko wa bei kisha urudi

Suala la mahakama maalum ya mafisadi kama nalo hulioni likiwa na msingi basi kuna haja ya kujifunza pia kiundani juu ya dhana hyo mkuu
 
Vijana wa Tz hawana subira na mimi nadhani uajiri ulipime hili pindi ajira zikifunguliwa. Pia inasemekana upinzani wachache ndio wanapiga kelele za ajira lakini ukweli ni kwamba pindi ajira zitafunguka taifa litapiga vigelegele embu tum support rais wetu na mambo mazuri yatokee. Vijana wote embu tulieni maana jambo zuri lipo mbele yenu what if rais ataacha hii operation ya vyet hewa na wafanyakaz hewa je mtapata ajira? Kumbuken kurefushwa kwa Zoez la uhakiki ndio kuongezeka kwa ajira hivyo let suppor our President.
 
Well said mkuu
 
Kajifunze vema dhana ya mfumuko wa bei kisha urudi

Suala la mahakama maalum ya mafisadi kama nalo hulioni likiwa na msingi basi kuna haja ya kujifunza pia kiundani juu ya dhana hyo mkuu
Si ndiyo maana nimekuuliza Ili unipe elimu katika hilo?.
 
Back
Top Bottom