Kwa haya machache, hongera Rais Magufuli

Pamputi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
982
Reaction score
724
NI takribani miezi 9 tangu ulipochukua hatamu ya uongozi wa nchi hii lakini ndani ya hicho kipindi kifupi tu tayari kuna mambo kadhaa yamefanyika tena kwa kiwango cha kuridhisha

Mambo hayo kwa ufupi ni kama haya yafutayo;

- Utekelezaji wa ahadi ya Elimu bure
- Hali ya mfumuko wa bei kuwa kawada
- Shilingi kubaki stable dhidi ya dollar
- Jitihada za wazi za kulifufua shirika la ndege la taifa ATCL
- TTCL kupewa uhai mpya na jitihada za wazi za kulifanya lirudi katika ushindani
- Utatuzi wa kero ya upungufu wa madawati (mpaka sasa JKT na magereza wanakamilisha zoezi la utengenezwaji wake)
- Mapato ya ndani kuchangia asilimia kubwa ya bajeti yetu
- Maboresho makubwa katika sekta ya mahakama (uanzishwaji wa mahakama ya mafisadi n.k)
- Kuongeza uwazi na uwajibikaji wa sekta za umma kwa wananchi
- Kuwaamini vijana na kuwapa nafasi kubwa katika teuzi zako i.e Makonda,sapi,Hudson,polepole,waryoba n k
- Jitihada za wazi juu ya Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge (upembuzi yakinifu tayari)
- Mageuzi makubwa katika sekta ya Elimu

Na mengine mengi

Itaendelea..
 
NI takribani miezi 9 tangu ulipochukua hatamu ya uongozi wa nchi hii lakini ndani ya hicho kipindi kifupi tu tayari kuna mambo kadhaa yamefanyika tena kwa kiwango cha kuridhisha

Mambo hayo kwa ufupi ni kama haya yafutayo
-utekelezaji wa ahadi ya Elimu bure
-Hali ya mfumuko wa bei kuwa kawada
-Shilingi kubaki stable dhidi ya dollar
-jitihada za wazi za kulifufua shirika la ndege la taifa ATCL
-TTCL kupewa uhai mpya na jitihada za wazi za kulifanya lirudi katika ushindani
-utatuzi wa kero ya upungufu wa madawati (mpaka sasa JKT na magereza wanakamilisha zoezi la utengenezwaji wake)
-Mapato ya ndani kuchangia asilimia kubwa ya bajeti yetu
-maboresho makubwa katika sekta ya mahakama (uanzishwaji wa mahakama ya mafisadi n.k)
-Kuongeza uwazi na uwajibikaji wa sekta za umma kwa wananchi
-Kuwaamini vijana na kuwapa nafasi kubwa katika teuzi zako i.e Makonda,sapi,Hudson,polepole,waryoba n k
-Jitihada za wazi juu ya Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge (upembuzi yakinifu tayari)
-Mageuzi makubwa katika sekta ya Elimu

Na mengine mengi

Itaendelea....
KUZUIA AJIRA VIJANA WANAISHI KAMA MASHETANI
KUZALAU WATUMISHI WA UMMA
KUSEMA UONGO UHAKIKI HAUZIDI MIEZI MIWILI
KUZUIA DEMOKRASIA
WANACHUO HAWANA MIKOPO
NK MTOA MADA CCM MMEJAA MAJUNGU NA UTAPELI
 
Sawa kada ila kamuulize hivi,
-hizo ndege kuwapa ATCL lengo ni kuchangia kwenye pato la taifa? kuongeza deni la taifa? Kulipa deni lililosababishwa na nyoka wenye makengeza?

-Halafu muulize kwamba hizo ndege zitaendelea kutumika kwa vimemo ili Wizara na Ofisi za umma na wanachama wa chama chetu na watoto wa mjomba waendelee kukopa kwa kutishia uongozi kwamba kataa uone?

-La mwisho mwambie asikubali mkataba wa EPA
 
Jitahidi kuongea ukweli mkuu
 
Mtoa mada nakuambia humpati mtu hapa, mimi sina milioni 7, nina mengi nikianza kujibu hoja zako, hawatofurahi wenye KUTAWALA, wataniambia nachochea majivu. ufupi tu inatosha kusema mimi sina milioni 7.
 
Maelezo juu ya umiliki wa ndege yamekwisha tolewa kwa kina mkuu

Hayo mengne yako na hata kama kuna mapungufu machache katika uongoz huu n yale ya kibinadamu ila mazuri n mengi zaid
 
Mtoa mada nakuambia humpati mtu hapa, mimi sina milioni 7, nina mengi nikianza kujibu hoja zako, hawatofurahi wenye KUTAWALA, wataniambia nachochea majivu. ufupi tu inatosha kusema mimi sina milioni 7.
Tiririka mkuu leta hoja
Here is where people dare to talk openly
 
Nmeona mazuri n mengi kuliko hayo unayoyataka wewe
-utekelezaji wa ahadi ya Elimu bure
-utatuzi wa kero ya upungufu wa madawati (mpaka sasa JKT na magereza wanakamilisha zoezi la utengenezwaji wake)

Its useless kama walimu wanazidi kuonewa na maslahi yao hayazingatiwi

-Hali ya mfumuko wa bei kuwa kawaida
-Shilingi kubaki stable dhidi ya dollar

Its useless kama liquidity is tight na hela haipatikani/zalishwi kirahisi

-jitihada za wazi za kulifufua shirika la ndege la taifa ATCL
-TTCL kupewa uhai mpya na jitihada za wazi za kulifanya lirudi katika ushindani

Kufufua is one thing, but to actually make them profitable is a whole different ball game( the jury is still out on this one.)

-Mapato ya ndani kuchangia asilimia kubwa ya bajeti yetu
Mapato ambayo figure zake ziko questionable

-maboresho makubwa katika sekta ya mahakama (uanzishwaji wa mahakama ya mafisadi n.k)
Mpaka sasa nani kafikishwa kwenye hiyo mahakama, inaction ya serikali kwenye suala la lugumi na IPTL ni jibu tosha

-Kuongeza uwazi na uwajibikaji wa sekta za umma kwa wananchi
Watumishi waumma wanaonewa same as na walimu, tumeona walivokuwa wakilazimishwa kwa lazima kuchangia na kukesha kwenye masuala kama mbio za mwenge n.k, watumishi wengine tumeona wakifukuzwa na kusimamishwa hovyo na viongozi mbalimbali bila kuzingatia proper procedures

-Kuwaamini vijana na kuwapa nafasi kubwa katika teuzi zako i.e Makonda,sapi,Hudson,polepole,waryoba n k
Vijana wenyewe wamekosa mwelekeo, wengine wamekuwa na matamko yasiyokuwa na vichwa wala miguu na wengine wameacha kustand up for what they believed in

-Jitihada za wazi juu ya Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge (upembuzi yakinifu tayari)
Upembuzi yakinifu is different from construction kuanza, inaweza ikafanyika na bado ujenzi ukachelewa kuanza au usianze kabisa, we've seen that through many different projects in Tz

-Mageuzi makubwa katika sekta ya Elimu
Mageuzi gani hayo? yataje
 
-utekelezaji wa ahadi ya Elimu bure
-utatuzi wa kero ya upungufu wa madawati (mpaka sasa JKT na magereza wanakamilisha zoezi la utengenezwaji wake)
Its useless kama walimu wanazidi kuonewa na maslahi yao hayazingatiwi

-Hali ya mfumuko wa bei kuwa kawaida
-Shilingi kubaki stable dhidi ya dollar
Its useless kama liquidity is tight na hela haipatikani/zalishwi kirahisi

-jitihada za wazi za kulifufua shirika la ndege la taifa ATCL
-TTCL kupewa uhai mpya na jitihada za wazi za kulifanya lirudi katika ushindani
Kufufua is one thing, but to actually make them profitable is a whole different ball game( the jury is still out on this one.)

-Mapato ya ndani kuchangia asilimia kubwa ya bajeti yetu
-maboresho makubwa katika sekta ya mahakama (uanzishwaji wa mahakama ya mafisadi n.k)
Mpaka sasa nani kafikishwa kwenye hiyo mahakama, inaction ya serikali kwenye swala la lugumi na IPTL ni jibu tosha

-Kuongeza uwazi na uwajibikaji wa sekta za umma kwa wananchi
Watumishi waumma wanaonewa same as na walimu, tumeona walivokuwa wakilazimishwa kwa lazima kuchangia na kukesha kwenye masuala kama mbio za mwenge n.k, watumishi wengine tumeona wakifukuzwa na kusimamishwa hovyo na vongozi mbalimbali bila kuzingatia proper procedures

-Kuwaamini vijana na kuwapa nafasi kubwa katika teuzi zako i.e Makonda,sapi,Hudson,polepole,waryoba n k
Vijana wenyewe wamekosa mwelekeo, wengine wamekuwa na matamko yasiyokuwa na vichwa wala miguu na wengine wameacha kustand up for what they believed in

-Jitihada za wazi juu ya Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge (upembuzi yakinifu tayari)
Upembuzi yakinifu is different from construction kuanza, inaweza ikafanyika na bado ujenzi ukachelewa kuanza au usianze kabisa, we've seen that throught many different projects in Tz

-Mageuzi makubwa katika sekta ya Elimu
Mageuzi gani hayo, yataje
Kumbe kwa mtu wa aina yako kila kitu ni useless kwako useful ni UKUTA naona
 
Back
Top Bottom