kuna tabia ya watu hapa jf mtu anapost kuhusu labda free internet au any hacking then watu wanampiga vijembe naombeni tujiulize mambo yafuatayo
1.kuna hackerz mzuri duniani kama jeshi la marekani? Elites wote wapo kwao satelite zao zaona hadi vyoo vya uswahilini visivyo na bati
2, je nisipojua kuhack ntapambanaje na hacker? Nitajuaje mbinu zake? Au nibaki kulalamika kila siku?
3, je ni kweli nikihack kitu nyumbani kwangu for learning purpose ni dhambi? Bila kukifanyia biashara public?
Baada ya kujiuliza hayo nawashauri watanzania wenzangu waamke nowadays hackers ndo nguzo ya science ya computer through hacking weakness ya system ndo inaonekana ni kama unavosema chama tawala na upinzani
Ila tusihack kwa biashara kama kuuza hio ni dhambi but kwa kuelimishana kama hapa jukwaani ni sahihi