Kwa Hali mbaya waliyonayo Simba SC kwa sasa mtetezi wao ni TFF na Bodi ya Ligi tu!

Ni shabiki mbumbumbu tu pekee kutoka Simba sc kuKataa kuwashukuru TFF na Bodi ya ligi kwa kusogeza mbele mchezo wa Simba sc vs Azam.

Kosakosa ya Namungo kuangukia sale ya moja moja huku mnyama akidondosha point 2 muhimu na kurudi nyuma katika harakati za kuwania kombe la Nbcpl.

Mchezo wa Simba sc vs Azam ulisogezwa mbele bila sababu muhimu ni wazi kabisa TFF na Bodi ya ligi waliamua kumstili mtu mzima tofauti na hapo mashabiki wangegawana mbao pale msimbazi.

Presha ni kubwa haswa kwa mashabiki ukichangia timu kutokufanya vizuri na ukitazama kwa jicho la ufundi wa mpira Simba sc hawana kikosi Cha kumfunga Azam Fc.

Kongolee ziende kwa TFF na Bodi ya ligi kwa kusogeza mechi mbele ili kumstili mtu mzima maana tofauti na hapo mzee Simba sc alikua ANAKUTAFUTA nafasi ya nne.
hakika tiftif wameupiga mwingi mpk pomoni..
 
Back
Top Bottom