Kwa hali hii ya Umeme wa TANESCO

baba aura

JF-Expert Member
Aug 5, 2023
227
346
Habari wakuu na poleni na changamoto za kimaisha .

Rejea hapo juu kwa kweli kwa mwenenendo huu wa Umeme taifa linaangamia, kwa nn anasema taifa linaangamia ni kwa sababu asilimia kubwa ya vijana wasio na ajira wanatumia umeme (wanategemea Umeme) kulipa kodi,kuitunza familia nk.

Sasa kwa hali hii ya Umeme Mara umekatika Mara umewaka na ukiwaka gafla hupelekea kuungua kwa baadhi ya vyombo/vitu vinavyotumia Umeme na hii huleta hasara sana

Tanesco tunaombembeni hata muwe mnatoa taarifa au wekeni ratiba ili tujue

Mwanambarali
 
SAA sits hii usiku Tanesco wananirudishia umeme sijui nikafungue saloon yangu ya kiume ili niwanyoe watumishi wa usiku!?!!
 
Mpira umekua mwingi na unapigwa kuelekea goli la CCM.
We waache waendelee kujisifia wanaupiga mwingi wakati miaka 62 baada ya uhuru nchi haina umeme wa uhakika.

Hivi tukiambiwa anaupiga mwingi maana halisi ni nini?
Lucas mwashambwa tusaidie.
 
Mbeya hakuna umeme Jana asubuhi mpaka leo sijui wana shida gani?
 
Habari wakuu na poleni na changamoto za kimaisha .

Rejea hapo juu kwa kweli kwa mwenenendo huu wa Umeme taifa linaangamia, kwa nn anasema taifa linaangamia ni kwa sababu asilimia kubwa ya vijana wasio na ajira wanatumia umeme (wanategemea Umeme) kulipa kodi,kuitunza familia nk.

Sasa kwa hali hii ya Umeme Mara umekatika Mara umewaka na ukiwaka gafla hupelekea kuungua kwa baadhi ya vyombo/vitu vinavyotumia Umeme na hii huleta hasara sana

Tanesco tunaombembeni hata muwe mnatoa taarifa au wekeni ratiba ili tujue

Mwanambarali
Hivi kuna sehemu nchi hii ambako mgawo (wenyewe wanaita ratiba ya upungufu wa umeme!) ni mkali kama Mbeya?!
 
Serikali kwenye umeme IMESHINDWAAA KABISAAA sasa solution nikuleta kampuni binafsi zikaleta umeme kama zilivyo kampuni za simu hawa TANESCO hawana Vision kabisa Umeme ni tatizo SUGU Bongo.
 
Back
Top Bottom