Kwa hali hii WWIII haipo mbali

Kwa hali hii WWIII haipo mbali

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
377
Reaction score
282
Baada ya mkutano wa Britton 1944 marekani na washirika wake walikubaliana biashara baina yao ifanyike kwa dola...lakini thamani ya dola ibebwe na gold.Miaka 27 baadae Amerika ikatupilia mbali ataratibu huu..badala yake ukaja mfumo wa petrodola na ununuzi wa hisa katika uchumi wa marekani kwa dola(U.s treasury bonds)

kwa sababu tunakiu ya mafuta wote tumelazimika kuzalisha ili tuipate dola...ziada inunue hisa(kodi ya hiari) ..matokeo yake USA inapata bidhaa toka dunia kote kwa bei zii kwa kuchapa dola(fiat currency).lakini pia wanatrade deficit.

Sasa ni kama watu wenye akili zao wameshtuka.

China alipoongezewa kodi na U.S. kwa bidhaa zenye thamani ya dola 200b yeye aliongeza kwa 60b lakini pia China akaanza kununua mafuta kwa yuan,kasitisha kununua mafuta U.S.(takribani mapipa 334,880 kwa siku)

mara ya tatu sasa China inauza hisa zake juzi kati imeuza 0.003%(China 1.2T of U.S. treasury bonds) ..,Russia,Turkey wamefanya ivo.

Sijui na huu mgogoro na Saudi ..dogo akiamua kuuza mafuta kwa yuan.

Maana Iran na Russia ni kama wameziba pengo la uhitaji wa mafuta China.

Je hii hali U.S. na washirika wake wataivumilia?

Je wapo tayari kununua bidhaa kwa thamani kama dunia ya tatu wanavoiona?

Sijui bwana Mattis alimaanisha nini alipotoa wito kwa jeshi la Us kuwa tayari wakati wote kwa vita?

Mazoezi vita ya kwa mara south Korea..ulaya mashariki..south east Asia.
 
Vije tu tupigane weee maana hakuna namna yoyote ya kuepusha WWIII
 
US kwisha habari yake vita ya 3 inakuja lkn haitakuwa na matumizi makubwa ya silaha km tunavyodhani, Diplomasia imetawala sana sasa hivi
 
Ngoja tuone mwisho wake. Ila nimesikia china karuhusu mazungumzo na Us. Mazugumzo ya kibiashara
 
Na ule mwisho bado, ila mwana wa adamu yuko karibuni kuja.
 
Mkuu tayari tuko kwenye vita ya dunia ya tatu III world war ila mara hi niya uchumi sio ya kijeshi.....Marikani anapingwa vibaya na mchina, pamoja na India na Tinger economies za Asia sasa hivi dolar sio kitu kama zamani na balance of trade imeanza ku shift in favour of China na wenzake soon China itakua the biggest economy in the world na Russia the strongest in military arsenals.....vita inaendelea keep watching plz
Baada ya mkutano wa Britton 1944 marekani na washirika wake walikubaliana biashara baina yao ifanyike kwa dola...lakini thamani ya dola ibebwe na gold.Miaka 27 baadae Amerika ikatupilia mbali ataratibu huu..badala yake ukaja mfumo wa petrodola na ununuzi wa hisa katika uchumi wa marekani kwa dola(U.s treasury bonds)
kwa sababu tunakiu ya mafuta wote tumelazimika kuzalisha ili tuipate dola...ziada inunue hisa(kodi ya hiari) ..matokeo yake USA inapata bidhaa toka dunia kote kwa bei zii kwa kuchapa dola(fiat currency).lakini pia wanatrade deficit.
Sasa ni kama watu wenye akili zao wameshtuka.
China alipoongezewa kodi na U.S. kwa bidhaa zenye thamani ya dola 200b yeye aliongeza kwa 60b lakini pia China akaanza kununua mafuta kwa yuan,kasitisha kununua mafuta U.S.(takribani mapipa 334,880 kwa siku)
mara ya tatu sasa China inauza hisa zake juzi kati imeuza 0.003%(China 1.2T of U.S. treasury bonds) ..,Russia,Turkey wamefanya ivo.
Sijui na huu mgogoro na Saudi ..dogo akiamua kuuza mafuta kwa yuan.
Maana Iran na Russia ni kama wameziba pengo la uhitaji wa mafuta China.
je hii hali U.S. na washirika wake wataivumilia?
Je wapo tayari kununua bidhaa kwa thamani kama dunia ya tatu wanavoiona?
Sijui bwana Mattis alimaanisha nini alipotoa wito kwa jeshi la Us kuwa tayari wakati wote kwa vita?
mazoezi vita ya kwa mara south Korea..ulaya mashariki..south east Asia.
 
Ni kama vile sijakupata vyema,unamaamanisha kuwa biashara za kimataifa zikiacha kutumia dola ndio itaibuka WW3?
kwa mazingira yalivyo ..NDIYO.. kilicho mtoa gadafi na Saddam ni habari hizi.
 
Ngoja tuone
Wabanane kwenye uchumi ila wasipigane...! Unajua vurugu hizi za wakubwa, sisi kama nchi zenye uchumi mdogo tunaweza kufanya mambo yetu vizuri bila bughudha ya kimaendeleo ilimradi tusiegee upande wowote. Lakini wakubwa hawa wakiungana kutukabili sisi, itakuwa vigumu sisi kupiga hatua. Wakati wa ColdWar I nchi masikini zilikuwa na aueni...sema tulichelewa kutumia zile furusa. Kwa sasa akili imeishatukaa vizuri...wakati wanasigana hao wakubwa sisi tutumie furusa hii tusiipoteze kama awamu ya kwanza ya vita baridi.
 
Back
Top Bottom