Kwa hali halisi Dr. Mwakyembe anahitaji backup ya wananchi, polisi hawataweza kutenda haki



Hakuna haja ya kuongezea. Lakini unatakiwa ukumbuke kuwa sometimes watu wanauawa kwa ajili ya amani na utulivu wa nchi. Hata kile kikosi tulichoambiwa kuwa kimemuua Osama Bin Laden, nacho kimeuawa kwa sababu ya kiusalama. Inaelekea hao jamaa uliowataja hapo juu wana siri nzito na walikuwa hawaaminiwi saana na watawala. Watu kama Kolimba, Balali, Kombe na wengineo, walikuwa na siri nzito saana.
 
Kwani ameomba msaada kwa wananchi akanyimwa? Ila mimi nitampa msaada kama akitoka CCM,kwasababu itakuwa ni ujinga kukaa kwenye sehemu ambayo wanatamani roho yako halafu unalalamika.Hatumuelewi.
 
Hata kama Sitta hakusema. Kwa mtu yoyote mwenye akili anajua kabisa Mwakyembe amelishwa sumu.
 

They want to eat their cake and still have it!!
 
Kwani ameomba msaada kwa wananchi akanyimwa? Ila mimi nitampa msaada kama akitoka CCM,kwasababu itakuwa ni ujinga kukaa kwenye sehemu ambayo wanatamani roho yako halafu unalalamika.Hatumuelewi.
I agree with u
 


badilisha kidogo make kwenye list umeweka hata watu walio hai kama dk balali!
 
Ikiwa kuna wanaotuhumiwa kwa vifo hivyo, iwe changamoto kwa usalama wa raia. Vinginevyo labda na wenyewe ni watuhumiwa.
 
Toa chai zako za vijiweni hapa! Unafikiri kijiwe cha gahawa hiki? Eti kikosi kilichomuua Osama nacho kimeuawa!! Ama kweli vijana mnapenda porojo uchwara!
 
....

MWENZETU ANAHITAJI BACKUP YA WAPENDA HAKI WOTE NA WANAHARAKATI ILI HAKI ITENDEKE NA VITENDO KAMA HIVYO VISITOKEE TENA.

NAWAKILISHA

Sawa lakini kumbuka huyu ni mwanasheria aliyebobea kama ulivyosema. Na ni kiongozi wa serikali. Sasa kama yeye anahitaji backup ya wapenda haki. Na wapenda haki wnanchi wa kawiada back up wataipata wapi.

Kama mtu ambaye nina uhaika hata bila uwaziri hana shida ya mlo basi anatakiwa ajiback yeye mwenywe kwanza. Aonyeshe hajaridhishwa na utendaji wa vyomo husika atika suala lake .... si tu kwa maneno bali kwa vitendo......... alafu waanchi watampa hiyo backup
 

Nafikiri alichokifanya ni ishara tosha kuwa haridhishwi na utendaji wa serikali yetu
Labda Wewe uwe clear kidogo unaona ingekuwa vema kama angefanya nini ?

Tatizo sis wa Tz sio watu wa action tumezoea mineno mineno tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…