Kwa hali halisi Dr. Mwakyembe anahitaji backup ya wananchi, polisi hawataweza kutenda haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali halisi Dr. Mwakyembe anahitaji backup ya wananchi, polisi hawataweza kutenda haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nicksemu, Feb 20, 2012.

 1. n

  nicksemu Senior Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiukweli mh. Sitta hawezi kuzungumza jambo zito kama hilo bila kuwasiliana na kujilidhisha na maelezo toka kwa Dr. H Mwakyembe na mawaziri hawa ni watu makini na wanajua madhara ya kuzungumza jambo zito kama hilo pasipo kuwa na uhakika na vidhibitisho.

  Kwanza wote ni wasomi wa sheria na wameshika nyazifa mbalimbali na bado ni mawaziri. Kwa kuzingatia vingezo hivyo vichache siwaamini polisi na taarifa yao na ukifuatilia CHRONOGICAL OF EVENTS inaonyesha wazi kabisa wanatumiwa na kundi fulani.

  SISI SIO WATOTO WADOGO JAMANI!

  MWENZETU ANAHITAJI BACKUP YA WAPENDA HAKI WOTE NA WANAHARAKATI ILI HAKI ITENDEKE NA VITENDO KAMA HIVYO VISITOKEE TENA.

  NAWAKILISHA
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu, hapo kwenye red ingesomeka nawasilisha ndio ingekaa vizuri. Ok, turudi kwenye hoja.
  Support unayotaka wapewa ipo ila wao ndio wanashindwa kui-unleash kutokana na circle wanayojihusisha nayo. Kwanza watoke huko walipo ili waungane na hao wapenda haki na wanaharakati. Hili likifanyika, hayo unayoyataka yatatokea tu
   
 3. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nimekuwa nikifuatilia kwenye vyombo vya habari jinsi suala la ugonjwa wa mh. Mwakyembe jinsi linavyopelekwa ni dhahili inaonekana kuna namna wananchi tunalazimisha tuwe wepesi wa kuamini giza ni mwanga.
  Waziri huyu anasema hili mwingine anasema vile utafikili wanafanya kazi ktk serikali tofauti, ndugu wana jf kwa sakata hili nimejikuta nakosa imani kabisa na taarifa zilizosababisha vifo vya waheshimiwa wengine kwa mfano.
  Mh. Kolimba.
  Mh. Chacha wangwe.
  Mh. Kambona.
  Mh.kombe.
  Mh.balali.
  Na wengineo !
  Hivyo basi kwa kuwa serikali yetu imekuwa na tabia ya kupotosha ukweli, naomba mwenye kujua ukweli na uhalisia wa vifo vya hawa ndugu zetu basi naomba auweke hapa.
  Pia unaweza ongeza na mtu mwingine ambaye kifo na taarifa ya kifo chake havikwenda sawia.
  Asanteni......!
   
 4. n

  nicksemu Senior Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sijakupata mkuu wahame chama cha magamba?
   
 5. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Sokoine.
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,913
  Trophy Points: 280
  Let them speak out and loud!
   
 7. Alai

  Alai Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania ninawaogopa tu kwa uchawi. Wah! Msharoga Mwakyembe
   
 8. t

  tenende JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  CCM mafia!. Tusubiri Siku 100 walizopewa!.
   
 9. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani tunaongelea haki ya kuishi na uhuru wa kujieleza - hata kama mtu amekosea anahaki ya kuishi. Labda kinachonistusha mimi utendaji kazi wa usalama wa taifa, pale inaposhidwa kusimamia usalama wa viongozi wake kwa sababu za kisiasa ama uzembe tu - mbele ya hadhara, wananchi wakawaida inakuwaje sasa!
   
 10. n

  nicksemu Senior Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi kesi za kuroga hazinaga ushahidi?
   
 11. n

  nicksemu Senior Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yaap mkuu inakuwaje waziri anashitaki polisi na hakuna kinachofanyika kama vile sio serikali moja. napata mashaka labda kuna serikali mbili
   
 12. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ona jinsi wazalendo walivyopotea matokeo yake taifa ndo limedhalisha type za kina manumba.
   
 13. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh. Rais ongea tukusikie tafadhali !
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  rais gani? huyo mwizi wa kura?
   
 15. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  na nani?...
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi msemaji wa serikali ni nani maana kila mmoja anajiongelea anachojisikia
   
 17. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jeshi la makafiri tu siku hizi
   
 18. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh apo kwa mh.balali umenistua kidogo mkuu,hivi kweli hadi leo watz tunaamini uyu mtu alikufa? Kuna nchi siitaji,ukienda utamkuta na ukimkuta usirudi tanzania maana lazima utakufa tu,wap chacha wangwe?? Wap profesa mwakyusa? Wap mwandish wa habari juzi kati.
   
 19. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,070
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Steven Kibona...Gilman Rutihinda!
   
 20. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  saint sasa nimuite nani mkuu !
   
Loading...