Asalam aleikhum waungwana ! leo The only naona nibadilishane nanyi juu ya hili.
Ni wazi hali ya ajira kwa sasa ni ngumu unaweza tuma barua 100 usijibiwe hata moja na ukijibiwa ni kukushukuru kwa kuomba na kukupotezea kulinda reputation yao ,kwa hili mwenzenu nina ushauri tofauti.
mimi naona kilimo ndo iwe focus yenu sisemi muwe wakulima mazima ila naamini graduate angepata mtaji wa warau 10 million anaweza kujipanga akatumi taaluma yake kujiajiri na after miaka 10 akawa milionea mwenye mchango mkuu kwa familia,ndoa,jamii na taifa kwa ujumla.
Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa
mchanganuo
Kununua ekari 5 200000
kulima na kupanda 100000
miti 2000@500 100000
uasafiri ,accomodatin fro DAR 200000
other 200000
Total capital 800000
Sales 2000@30000 60000000(mil 60) hii ni current price na ina appreciate ndani ya miaka minne tuu.
AIDHA MIMI NAEONGE NILIWAHI KUAJIRIWA BENKI NIKALIMA NDO KUVUNA NIKARESIGN TENA 24 HRS NA HATA PPF SIJAENDA KUCHUKUA MAFAO.
Tatizo letu tuna husisha utozi na usomi ,hakuna sheria kuwa eti msomi lazima avae tai huo ni upuuzi sisi ni nchi masikini tukumae.
uliwahi kuajiriwa. ukafanya saving, ukawa na access na mikopo.....vyovyote vile lakini b'dae ndio ukapata mtaji wa kulima. Sasa hao mafresh from school watatoa wapi capital? Ushauri wako bado hautowasaidia.
Asalam aleikhum waungwana ! leo The only naona nibadilishane nanyi juu ya hili.
Ni wazi hali ya ajira kwa sasa ni ngumu unaweza tuma barua 100 usijibiwe hata moja na ukijibiwa ni kukushukuru kwa kuomba na kukupotezea kulinda reputation yao ,kwa hili mwenzenu nina ushauri tofauti.
mimi naona kilimo ndo iwe focus yenu sisemi muwe wakulima mazima ila naamini graduate angepata mtaji wa warau 10 million anaweza kujipanga akatumi taaluma yake kujiajiri na after miaka 10 akawa milionea mwenye mchango mkuu kwa familia,ndoa,jamii na taifa kwa ujumla.
Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa
mchanganuo
Kununua ekari 5 200000
kulima na kupanda 100000
miti 2000@500 100000
uasafiri ,accomodatin fro DAR 200000
other 200000
Total capital 800000
Sales 2000@30000 60000000(mil 60) hii ni current price na ina appreciate ndani ya miaka minne tuu.
AIDHA MIMI NAEONGE NILIWAHI KUAJIRIWA BENKI NIKALIMA NDO KUVUNA NIKARESIGN TENA 24 HRS NA HATA PPF SIJAENDA KUCHUKUA MAFAO.
Tatizo letu tuna husisha utozi na usomi ,hakuna sheria kuwa eti msomi lazima avae tai huo ni upuuzi sisi ni nchi masikini tukumae.
unathink in a negative way ,yaani unatry to act victim kumbuka you are responsible for everything in you and solution will come from you ,mimi naacha kazi nilikuwa na laki 5 tuuu na ilitokana na kuugua kurudi bushi na raki tano zangu nikajikuta ni don kjjn naweza thro laki kulimisha watu hata ekari 5,unataka kusema huwez tafuta 5 kwell ,mkono mtupu haulambwi,tatizo unataka utoke chuo uwe director u must nill down to the mudd you wake up with diamond,ningesema nina uza vitu graduate waniuzie ungesapot hujui hiyo yampasa mmachingauliwahi kuajiriwa. ukafanya saving, ukawa na access na mikopo.....vyovyote vile lakini b'dae ndio ukapata mtaji wa kulima. Sasa hao mafresh from school watatoa wapi capital? Ushauri wako bado hautowasaidia.
unathink in a negative way ,yaani unatry to act victim kumbuka you are responsible for everything in you and solution will come from you ,mimi naacha kazi nilikuwa na laki 5 tuuu na ilitokana na kuugua kurudi bushi na raki tano zangu nikajikuta ni don kjjn naweza thro laki kulimisha watu hata ekari 5,unataka kusema huwez tafuta 5 kwell ,mkono mtupu haulambwi,tatizo unataka utoke chuo uwe director u must nill down to the mudd you wake up with diamond,ningesema nina uza vitu graduate waniuzie ungesapot hujui hiyo yampasa mmachingaSure! means ya kupata hiyo hela kwa urahis ni kwa mkupo tu,napataje sasa wakat sina kitu wala dhamana yeyote,hali mbaya!fanya mchanganuo na hapo mkuu!
Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa
nimekosea ni 6m ila hii ni at minimum inaenda hadi 9Mfano ukilima tangawizi gharama yake ni 1.5 kwa ekar at maxmum ila ata minimum mavuno ni tani 6000x1500=milion 9 tayari unaweza kulipia eneo mwaka ukaanzisha biashara ,au ukipanda miti ekari nzima kwa mbeya iringa
Mkuu hebu fafanua hapo kwenye red and bolded, maana naona akili yangu 'ndogo' inashindwa kuunga hii kitu. Siajua kama ekari moja inatoa tani 6000 au 1500. Aisee inaweza kuwa ni bonge la teknolojia hiyo. fafanua please!
nimekosea ni 6m ila hii ni at minimum inaenda hadi 9
unathink in a negative way ,yaani unatry to act victim kumbuka you are responsible for everything in you and solution will come from you ,mimi naacha kazi nilikuwa na laki 5 tuuu na ilitokana na kuugua kurudi bushi na raki tano zangu nikajikuta ni don kjjn naweza thro laki kulimisha watu hata ekari 5,unataka kusema huwez tafuta 5 kwell ,mkono mtupu haulambwi,tatizo unataka utoke chuo uwe director u must nill down to the mudd you wake up with diamond,ningesema nina uza vitu graduate waniuzie ungesapot hujui hiyo yampasa mmachinga
Sure! means ya kupata hiyo hela kwa urahis ni kwa mkupo tu,napataje sasa wakat sina kitu wala dhamana yeyote,hali mbaya!fanya mchanganuo na hapo mkuu!