Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Leo nimeona kitu cha ajabu ila kwa kuwa hakina mda mrefu nimetoka kuona haya haya afcon tstars vs moroco
Mpendwa kaka karia tufike wakati hawa waamuzi msiwabebe tu ili mradi wako znz kama hawana hadhi timue kule
Kuna rafu inasambaa mchezaji wa simba amemchezea wa azam ile n dir redkard
Kwa mwendo huu nashauri ru maamuzi mnayo nyie
Afungiwe mechi 5
Alimwe mil moja
Na yule mchezaji aliecheza rafuale mechi 5 nje
Apigwe faini mil 5
Hizi rafu simba wamefanya n biashara kwao wanapoona mechi hawaiwezi wamefundishwa kuumiza watu
Najua mna rekodi wako kadhaa wana mechi 5 mfukoni na mil 1 zenu
Hawa watu wekeni mili 5 na mechi 5
Akirudia mara ya pili wekeni 6mechi
Fain mil 7
Akirydia mara ya tatu mpeni
10 match nje
Na mil 10
Nawambia haya mambonyataisha ..hizi.mil.1 washaona wanazimudu na mbaya zaidi wanakuwa wamemweka refa mfukoni
Kwa hali hii mna haribu mpira wa tanzania wapendwa
Nitashangaa mnalalamikia moroco wakati wenu wako vile vile
Ushauri tu maamuzi yako mikononi mwenu