Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
wadau kwa suala la elimu Jk tumpe hongera, kodi zetu na mikopo tunayodaiwa imefanya kazi kwa kiasi chake
chuo kimejengwa na kodi zetu
Pia nimpongeze kwa chuo cha mandela, alicheza penati nzuri chuo kile kikajengwa, World bank walitaka kutoa hizo fedha kupelekea pengine
(Picha kwa hisani ya blog ya michuzi)
Lokissa sio mwanachama wa chama cha siasa ila ni mpenda maendeleo na mageuzi ya kweli.