JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
Kama sijaelewa vile
Jinsi ya kuiba au saloonDogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
Jinsi ya kuiba??Jinsi ya kuiba au saloon
Ndio kwa sababu nikilazaJinsi ya kuiba??
Wewe hilo Jina lako huna uhalali wakutoa ushauriWrite your reply... Human Resource Management,,, Sheria Uandishi Na Utangazaji Wa Habari,, Ila Namshauri Sana Sheria Kwa Kuwa Ina Wigo Mpana
Sawa mkuu ubarikiwe kwa u genius uliotunukiwa ila kwa taarifa yako wezi wakubwa wa nchi hii ni watu na elimu zaoNdio kwa sababu nikilaza
Sawa mkuu ubarikiwe kwa u genius uliotunukiwa ila kwa taarifa yako wezi wakubwa wa nchi hii ni watu na elimu zao
Recognize school refusal or a struggling student in your child.Child Mind Institute offers tips for parents on how to get kids back in class.Sawa mkuu ubarikiwe kwa u genius uliotunukiwa ila kwa taarifa yako wezi wakubwa wa nchi hii ni watu na elimu zao
Habari, naamini hata kama anasema atasoma chochote watakachomshauri wataalamu, yeye pia ana nafasi ya kuangalia interest zake, asije akasomea kitu ambacho akija kukifanyia kazi atahisi anateseka maisha na hapo furaha ya maisha na uhuru unakosekana.Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
ChiefHabari, naamini hata kama anasema atasoma chochote watakachomshauri wataalamu, yeye pia ana nafasi ya kuangalia interest zake, asije akasomea kitu ambacho akija kukifanyia kazi atahisi anateseka maisha na hapo furaha ya maisha na uhuru unakosekana.
Mfano nina rafiki yangu ambaye alienda kusomea Mambo ya usalama sasa hivi ni polisi lakini anachukia kuwa huko kwa kuwa anaona haendani na kazi hiyo.
Anyway-kutokana na uzoefu wa kazi zangu kama atakuwa na interest na mambo ya IT (akasome hiy).
Kozi ambayo hata kama hujaajiriwa unaweza kujiajiri.
Thanks!
Mwl.Hemedi
Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya certificate.. Hebu mshaurini
ok thanksSo what?Go get education don't come here crying