Kwa CCM ni haki kabisa: m/kiti na katibu TUCTA ni makada wa CCM, tusahau kuiwajibisha serikali

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,883
Huyu ni katibu mkuu wa Tucta bwna Yahaya Msigwa akichukua form ya kugombea wakati wa mchujo (kura za maoni) Iringa kwa tiketi ya CCM tusitarajie chochote ni sawa na kuwachukua kina Mwakyembe useme waikosoe serikali yao.

Kwa ufupi TUCTA ni sawa na viti maalum vya ccm ndani ya bunge.

TUVATA.jpg
 
View attachment 498915
Pole kijana. TUCTA haikuanzishwa kupambana na ccm. TUCTA ni shirikisho la vyama vya kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Hata wewe unaruhusiwa kuanzisha yako
 
Kwa siku unaporomosha threads ngapi ?

Mmeongezwa posho per thread nini ?
 
Ina mana sheria hairuhusu kuwa mwanachama au ilitakiwa awepo mpinzani km TLS? Watanzania vyama daraja tu Tanzania itakuepo pasipo at a vyama, tumhukumu MTU kwa uwezo Wa kufanya kazi na uzalendo wake kwa taifa mambo ya vyama unaweza kushabikia ulichoaminishwa kumbe unatumiwa tu watu watimize malengo yao, tujitambue.
 
Pole kijana. TUCTA haikuanzishwa kupambana na ccm. TUCTA ni shirikisho la vyama vya kutetea maslahi ya wafanyakazi.

Hata wewe unaruhusiwa kuanzisha yako
Hakuna mtetezi wa haki za wafanyakazi hapo..

Kuna waganga njaa tu kupitia migongo ya wafanyakazi..
 
yani lengo la mwandishi huyu kuleta hii kitu sidhani kama na yeye analifaham, kama wewe unaidharau ccm wazazi wako inawezekana wakawa wanaiamini na kuipenda mno, so ccm ina wenyewe kama huipendi angalia pembeni na ufanye yako, after all serikali ni muajiri Mkuu unataka wafanyakazi wagombane na aliyewaajiri ili iweje
 
Yote haya yatapita siku Jehovah atakaposema enough is enough. Wanachojidaishia kupendwa ni nini kama kila Kona wameweka makada?
 
Huyu ni katibu mkuu wa Tucta bwna Yahaya Msigwa akichukua form ya kugombea wakati wa mchujo (kura za maoni) Iringa kwa tiketi ya CCM tusitarajie chochote ni sawa na kuwachukua kina Mwakyembe useme waikosoe serikali yao.

Kwa ufupi TUCTA ni sawa na viti maalum vya ccm ndani ya bunge.

View attachment 498915
Muungano wa vyama vya wafanyakazi ni chama ama idara nyeti sana katika nchi yoyote ile.

Ipo historia kutoka katika nchi mbalimbali na hasa zilizoendelea ambazo ni vyama vya wafanyakazi viliwezesha mageuzi/mapinduzi katika serikali zilizo onekana kuwakandamiza raia wake.

Muungano wa vyama vya wafanyakazi katika nchi yoyote wana nguvu mara kumi ya wanasiasa.

Kwa kutangaza mgomo tu wa wafanyakazi katika kuishinikiza serikali kurekebisha mapungufu yaliyopo katika jamii huipelekea serikali kupata hasara na kelele nyingi kutoka kwa wananchi.

Viongozi wa dunia ya sasa (hasa wale wenye viashiria vya udikteta) wamebaini nguvu hii hivyo kupandikiza ama kula nao sahani moja wale wanaoongoza vyama hivi kwa lengo la kulinda masilahi.

Tusitarajie zile kelele za wafanyakazi katika kudai maisha bora...Nyongeza za mishahara...kupandishwa madaraja (vyeo) n.k. KELELE KUISHIA UKINGONI.

Yanatakiwa mageuzi, dhamira inayoambatana na nia ya kweli katika kuwachagua viongozi wetu kuepuka MAPANDIKIZI....MAKADA....MASHUSHUSHU katika chama hichi chenye nguvu ila kinachodharauliwa na kusubiri kupewa heshima na takrima siku ya MAY MOSI.....

Soridality....Forever..!!
 
Huyu ni katibu mkuu wa Tucta bwna Yahaya Msigwa akichukua form ya kugombea wakati wa mchujo (kura za maoni) Iringa kwa tiketi ya CCM tusitarajie chochote ni sawa na kuwachukua kina Mwakyembe useme waikosoe serikali yao.

Kwa ufupi TUCTA ni sawa na viti maalum vya ccm ndani ya bunge.

View attachment 498915
Ukifuata hayo utachoka. Nchi hii kila mtanzania ni mwanaccm. Nyie wengine mnaojinadi si ccm ni mnaochukia wanaccm. Imani ya ccm mnaishi nayo na ndio hiyo mnayoitumia kuwakosoa na hata kuwachukia wanaccm mliowachukia.
Hivi vyama vingine ni sehemu ya mazoezi ya kufanyia siasa tu. Kama leo unamshangaa huyu alikuwa ccm na kaomba TUCTA na kuwa katibu mkuu. Je Lowasa na Sumaye kipindi hicho hicho walikuwa ccm wakichukuwa fomu na leo hii ni viongozi wa kiroho chadema. Hawa unawaamini wamebadilika kiimani kuliko huyu wa Tucta? CCM NI MFUMO WA MAISHA YA WATANZANIA.
Ninaposema CCM namaanisha Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania na si CCM ya Kenya yenye maana ya Chama Cha Mashinani.
 
Back
Top Bottom