I ibange JF-Expert Member Dec 31, 2010 1,543 550 Apr 20, 2012 #1 Wabunge wa CCM msiposaini atapingwa na nguvu ya umma. Kumbukeni hili ni shinikizo tu ili serikali iwawajibishe mawaziri, plz saini kuokoa taifa. Tutakuuliza baadae 2015 kwamba hukuunga mkono vita dhidi ya ufisadi
Wabunge wa CCM msiposaini atapingwa na nguvu ya umma. Kumbukeni hili ni shinikizo tu ili serikali iwawajibishe mawaziri, plz saini kuokoa taifa. Tutakuuliza baadae 2015 kwamba hukuunga mkono vita dhidi ya ufisadi